Tanzania ni nchi ya ajabu unakuta Pro wa chuo naye ni chawa badala ya kujibu hoja!. Kama huna jibu sema hujui sio kuuliza swali badala ya kujibu!
1. Mkataba wa DP World ni wa miaka mingapi? wa muda gani?
2. DP world inapataje mapato yake kwenye mkataba? Yaani ni tozo zipi na asilimia ngapi...
Wakuu tangu Waingine DP World ni kama kero imekua kubwa kwa wafanya biashara gharama za uchuuzi wa kontena zipo juu sana mpaka inashangaza.
Na Kontena zinachukua muda mrefu sana kupita kiasi Wakuu shida nini? Je, ni sera mbovu za kiabiashara za serikali ukijumlisha na gharama au?
Je, Serikari...
Ufafanuzi kuhusu Gawio ka TSH. Bilioni 153.9 lililoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali.
Katika Mitandao ya Kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu kuhusu uhalisia wa Gawio la Shilingi Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari...
Maswali chechefu:
1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 Billion toka kwa Mkurugenzi Mkuu, Bw. Mbossa na Mjumbe waBodi, Bw. Minja?
2. Je, Rais hajui kuwa kuna miaka TPA ilikuwa...
My Take
Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele.
=======
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imevunja rekodi kwa kutoa jumla ya Shilingi za Kitanzania 153.9 Bln kama gawio kwa Serikali kuu kwa mwaka wa fedha Mwaka 2023/2024.
Gawio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.