Huyu mlokole anafanya kazi ya uhasibu kwenye shirika kubwa, lakini hajawahi kuiba hata senti. Eti anasema wezi hawataingia mbinguni. Mtu ana nafasi ya kutajirika haraka kwa pesa za shirika, yeye anakomalia uaminifu. Ujinga mtupu!
Akipanda magari ya abiria, akizidishiwa chenji, anamrudishia konda...
Angalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRC
Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
MALUMBANO: MJINGA, MWEREVU, na MSHAMBA.
MJINGA: No Reform, No Election.
MWEREVU: Hatuna muda wa kufanya Reforms hizo.
MJINGA: Tutakusaidia kuzuia uchaguzi ili upate muda wa Reforms.
MSHAMBA: Kama una nguvu za kuzuia, zitumie kuzuia wizi wa kura.
MJINGA: We mjinga vipi? Mbona unanukia wizi...
Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi nyingi ikiwemo Indonesia taifa lenye Waislamu wengi zaidi duniani, ndipo Putin akamuambia Indonesia...
Mapenzi upofu sio suala la mmoja karibu wote tuna huo upofu ila usikubali ukufanye mjinga hapo utakuwa umefeli .
Upofu wa mapenzi ni pale ambapo huoni wanayoona wengine kwa umpendaye na hata ukiona utajifariji kwa sababu mbili tatu.
Ujinga ni pale ambapo unaona kabisa dalili za hatari ila...
We jamaa pamoja na kwamba unachezea utopolo nimekupigania sana ili timu yako isilalie fursa zinazokujia. Niliwahi kusema ukipunguza wenge wewe ndiyo unaenda kuchukua mikoba ya kina Samatta na kuibeba Taifa Stars kwa miaka 5 ijayo. Utulivu wako wa sasa unaonyesha kile nilichokiona.
Wydad...
Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu .
Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake .
Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka .
Ni swala la muda tu.
Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love
Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili
Ni Hilo tu nawafundisha...
Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga
Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi
Anaempa binadamu ukubwa ni Muumba na huwezi kulazimisha kuthaminika ikiwa watu hawakuthamini
Huyu...
Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa...
Wote mnaoishi Dar es salaam huku mnalia maisha magumu ni mafala,aliwahi kusema Anton Lusekelo mzse wa upako
Ukipita barabarani ni foleni za magari lakini wewe huna hata pikipiki we ni
Majumba yote jiji zima lakini huna hata kiwanja wewe ni
......
Jiji lina watu milioni sita,ukibuni product...
Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana
Mwanamke mcheza porno
Mwanamke mcheza onlyfans
Malaya anayejiuza
Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa
Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili...
Kwema Wakuu!
Tofauti kubwa ya mwerevu na mjinga ni kuwa Mwerevu anaweza kujifanya, kuigiza kuwa ni Mjinga ila Mjinga hawezi kujifanya wala kuigiza kuwa ni mwerevu.
Vile vile Tajiri huweza kujifanya au kuigiza ni Maskini lakini Kamwe Maskini hana uwezo wa kujifanya wala kuigiza yeye ni Tajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.