Siku za hivi karibuni ukiwa na mkopo kwenye ulikopa kwa kutumia namba yako ya NIDA basi upati mkopo kwenye Bank.
Je ni sahihi kunyimwa mkopo wa bank eti ulikopa Kwa kutumia NIDA namba tena wanakutafuta adi waone udaiwi Sasa mtu anaweka dhamana mshahara wake bank fulani wanapekua NIDA kweli...
Kuna nyakati naona jumbe kupewa gawio na mtandao wa simu, unakuta ni kama Sh 38 n.k.
Naomba kuuliza, mimi si mwanahisa wa kampuni ya simu yoyote, ni mteja tu.
Kwa nini wanajipa gawio? Kiasi cha gawio hutolewa kwa vigezo vipi?
Kampuni ya simu inalenga nini kutoa gawio kwa wateja wake (gawio si...
Aisee nakereka sana na upuuzi wao wa kufungia line yani miezi mitatu tu unakuta line yako kapewa mtu mwingine
Yani kwenye dunia hii ya leo yenye maendeleo kadha wa kadha ambapo mtu anaweza kwenda kenya, Uganda, sudan,America, Europe au hata south africa akakaa miezi kadhaa kama 5 anarudi...
Niende kwenye Hoja,
1) Nina laini ya simu niliyosajilia Sim Banking, kwanini nikiweka hela kwenda Benki nakatwa, nikirudisha kwenye laini ileile toka Bank, nakatwa Tena! Kwanini mfumo usitofautishe namba za wateja wao na miamala ya malipo? Mbona ukihamisha Hela kupeleka kwenye Taasisi za...
Habarini wanajukwaa,
Jamani naomba kufahamu kuhusu hii mitandao ya smu. Nimekuwa nikiweka Salio katika mtandao X mfululizo,
jana asubuhi nimeweka salio kwa rusha nikaunga vizuri, jioni wakati narudi mishe nikapitia kwa wakala nikaweka Salio, nafika nyumbani niunge salio naambiwa halitoshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.