Mzuka Wana jamvi, yerereeeeeerreereerreereyere!!!!!
Bila kupoteza muda.
Baadhi ya Nicknames
@Magahayo = The Mongolian Savage, Mgerasi , Semenya aka Mabange
GENTAMYCINE = Popoma
Mshana Jr = Mlozi
Eli Cohen = EliNyahu Cohen , Jasusi wa Mossad
Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah = Chawaz Gang...
Maisha ya zamani ilikuwa raha tupu:-
''Ingia bandani kamata kuku wawili tuchinje''
''Ingia shambani vunja mahindi tuje tuchome''
''Chemsha kahawa hapo jikoni ulete tunywe huku ukinihabarisha habari za huko nyumbani''
''Hadithi hii inatufundisha nini wajukuu zangu?''
Nyakati hizi huwezi...
Ubaya Ubwela
Gusa achia Twende
kwao
Sicheki na Wowote
Ninge comment ila Mwanasheria
wangu yupo likizo
We huogopi..!
Yanga hii unaifungaje?
Mtoto Kautaka
Naijua hiyo
Kipengele uje nacho wewe tajiri
Watoto wa 2000
Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi
Kamdomo
Mambo kwa ushahidi Na hapa ipo...
Natumai mu wazima.
Nakumbuka way back nikiwa kwenye harakat zangu...
Kuna baharia aliniita na kuniuliza ishu Fulani, nilmjibu kavu akanambia "chora".
Nikawa nashangaa tu kumbe maana yake ilkuwa "nisepe"😂😂
Vipi we ushasikia msemo gani kitaa ukakuacha mdomo waz??
Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo.
Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni kuwa, wapo matajiri wanataka semi hizo ziandikwe, wakati mwingine ni madereva wenyewe huwa ndiyo...
Maskini aliyeridhika hujibembeleza kwa misemo inayomkandamiza zaidi 😔
1. Maisha sio vita
2. Maisha ndio haya haya tu
3. Pesa hainunui furaha.
4. Utajiri ni dhambi.
5. Kila tajiri ana ushirikina.
6. Pesa sio kila kitu.
7. Mapenzi ni upendo pesa ni ziada tu
8. Utajiri unatesa sana bora hata usiwe...
Umaskini haufai, na kama ukiwa maskini ukaishi kwa misemo kama hii, ni ishara kuwa umeamua kuukubali, na kwa hakika utateseka.
Hakuna cha kusema “maisha ndiyo haya haya tu” - kuna mazuri zaidi ya hayo. Acha kujifariji kwa misemo kandamizi kama ifuatayo:
1. Maisha si vita.
2. Maisha ndiyo haya...
Kimsingi shetani yuko smart sana kiasi kwamba kumzidi ni ngumu. Hutumia binadamu wenyewe kufanikisha mambo yake.
1. "Fuata ninachosema usifuate matendo yangu"
Hii mara nyingi ni kisingizio kinachotolewa na baadhi ya viongozi wa dini au watu wengine waliojipambanua kama wenye maadili bora.
2...
Wakuu,
Kuna vimesemo na vijimaneno huwa vinazuka na kubamba na kisha kupotea baada ya muda. Unakumbuka msemo gani uliobamba sana na kusepa na kijiji? Tupia hapa na watoto 2000 wapate vya kusimulia.
Si mbaya ukaeelezea kwa kifupi msemo ambao unaona sio maarufu kwa wengi, utuambie ulitokea hapi...
Nianze na misemo ya kisukuma na maana zake
1. Chujaga mhela utizaguchuja nhola
Bora umkose nyati atakuhurumia kuliko kukosea kuoa.
2. Kushema Chonja kubundala
Huu ni sawa ule msemo mtaka cha uvunguni sharti uiname.
3. Gw'ana nongu akalyaga na kabisile
Mtoto mwema huweza kupewa ale...
Hii ndiyo misemo unayoweza kuikumbuka dhidi ya ushindi wa mke wa bilionea!
1. Anaye cheka mwishoni hucheka sana
2. Tamaa mbele mauti nyuma
3. Mchuma janga hula na nduguze
4. Heri kumwagwa kuliko kumiminwa
5. Haiwi imekwisha hadi iishe
6. Ghafula bin vuu
7. Ukitaka kuruka agana na nyonga
8. Leo...
Muda umeenda, mwaka unaenda kuisha; ni asilimia 95% mpaka sasa ya mwaka tumeikata tayari. Misemo ni vimbwanga mbalimbali vimeibuka.
Je, ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakugusa kwa namna yoyote?
~ "Mama anaupiga mwingi"🥲
Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani.
Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.