Taasisi ya Sera ya Mikakati ya Australia (ASPI) sasa inakabiliwa na wasiwasi mkubwa kuhusu bajeti yake, kwani Marekani imesimamisha msaada wa kifedha tangu Donald Trump alipoingia madarakani.
Hali hii haijaonyesha tu utegemezi wa muda mrefu wa taasisi hiyo kwa ufadhili wa Marekani, bali pia...
Serikali ya Marekani chini ya Donald Trump imesitisha ufadhili katika programu mbalimbali za afya ikiwemo HIV, Polio, na Malaria duniani kote.
Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, serikali ya Trump imesitisha takribani programu 5,800 zilizokuwa zinafadhaliwa na USAID ikiwa ni pamoja na...
Wakuu,
Ufichuzi wa Mbunge wa Marekani Scott Perry kwamba Shirika la Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID) limekuwa likifadhili kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria uliibua hisia kali.
Madai ya Perry yamegusa hisia kali nchini Nigeria, ambapo Boko Haram wameua zaidi ya watu 50,000...
Ripoti mpya ya Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) inaonyesha kuwa kusitishwa kwa ufadhili kwa ghafla kumevuruga shughuli za NGOs za ndani, kusababisha upotevu wa ajira, kufungwa kwa miradi, na matatizo katika utoaji wa huduma. Kwa miongo kadhaa, Marekani imekuwa mfadhili mkuu wa...
Hatutaki fedha, shida yetu kubwa ni wananchi kushindwa kuchagua viongozi wanaowataka a kuwaondoa viongozi wasiowataka.
Kama unataka kumsaidia mwafrika saidia hilo, sio kutuletea fedha Wala vidonge vya uzazi wa mpango.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri ya kiutendaji ya kukata msaada wa kifedha kwa Afrika Kusini, ambao ulikuwa karibu dola milioni 440 mwaka 2023.
White House ilieleza kuwa hatua hii imesababishwa na kutoridhishwa kwa Marekani na sera ya ardhi ya Afrika Kusini pamoja na kesi...
Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump.
Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77 tu zimefika kama misaada ndani ya Ukraine.
Zelensky akizungumza na wanahabari hivi karibuni...
Wakuu,
Msako wa Elon Musk na bwana Donald kwenye mifumo ya bajeti na fedha huko Marekani unaendelea kushika kasi.
Hivi karibuni Elon Musk amepewa mamlaka na Donald Trump chini ya Wizara mpya ya Ufanisi Wa Serikali kusimamia na kudhibiti mifumo ya ugawanyaji fedha ya serikali.
Hivyo, ni kwamba...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kusitisha ufadhili wa Marekani kwa Afrika Kusini, akidai kuwa "tabaka fulani za watu" nchini humo wanatendewa vibaya sana.
Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa kijamii Truth Social siku ya Jumapili, Trump amesema kuwa Afrika Kusini "inanyakua...
Wiki hii taarifa kutoka shirika la misaada la USAid kwenda kwa Taasisi mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Benjamin Mkapa juu ya kusitisha ufadhili wa miradi inayohudumia waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI na Magonjwa ya kuambukiza ikiwemo TB limeleta taharuki hasa kwa wagonjwa wanaohudumiwa na mradi huu...
Kutokana na ujio wa Rais mpya wa marekani "Donald Trump" kusitisha utoaji wa misaada katika nchi za Africa, kauli/Sheria iyo imeonekana kuathiri sana sector ya afya ambayo ilikua ikilalia sana upande wa marekani Ili kuendesha programu mbalimbali.
Kutokana na kusitishwa Kwa misaada hiyo...
CHADEMA imetoa mapendekezo matatu kwa serikali kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani,Donald Trump kusitisha misaada kwa sekta ya afya.
Mwenyekiti wa Kamati ya Afya na Maendeleo ya Jamii ya Bunge la Wananchi CHADEMA, Ashura Masoud, lazima hatua zifuatazo zichukuliwe kukabili mabadiliko hayo.
1...
Wakuu,
Trump aliahidi kusitisha misaada kwa nchi za Afrika pindi atakapoingia madarakani kutokana na kile kinachosemwa matumizi mabaya ya viongozi wa Afrika ambao wanatumia misaada hiyo kwa shughuli zao binafsi.
Sasa amekalia kiti utekelezaji umeanza, misaada yote imesitishwa kwa miezi 3...
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote.
Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
1. Utaratibu wa kutoa taarifa kwa Jambo linalohusu wananchi NI Jambo muhimu katika utawala Bora. USAID kajitoa kufadhili Miradi ya UKIMWI/TB na malaria. Watu wetu wataishije? Nini mpango wa Serikali?
2. Ni wakati sasa wa kujitegemea katika kuhudumia wananchi wa Tanzania kuliko kutegemea kila...
Usalama wa Taifa ni pamoja na Utulivu wa Raia wake.
Kiukweli kabisa Huwa Nashangaa hii Nchi yetu vipi?
Trump kajitoa WHO, taarifa na vumi mbalimbali kuhusiana na upatikanaji wa ARVs zinazunguka kwenye mitandao ya kijamii kila kukicha, lakini HUSIKII serikali ikichukua hatua kuongea na vyombo...
Wapo wavivu na wajinga wanaolalamika na kulaani kwanini Rais Donald Trump amesitisha misaada.
Kwa wanaojua utajiri uliokaliwa na Afrika, wanashangaa nani alituroga. Anachofanya Trump, kwa wenye akili na wabunifu, ni changamoto kuwa wahusika watumie akili na kuweza kutumia utajiri waliojaliwa na...
Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika.
Sababu kuu mbili zilizonifanya nifurahie uamuzi wa Trump ni hizi;
1. Hii misaada tumeanza kupewa tangu tupate uhuru mpaka sasa bado tunaendelea kupokea na hakuna mabadiliko. Ni kama vile fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.