Akisoma taarifa ya Hali ya Uchumi wa Nchi kwa mwaka 2023/24 na matarajio ya 2024/25 Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema, hadi mwezi machine deni la Serikali limefikia takribani Shilingi Trilioni 91.7. Deni hilo linajumuiaha deni la ndani na deni la nje.
Amesema ongezeko...
Wakristo wa Ulaya walitusamehe nusu ya deni la taifa mwaka 2000, ila hivi sasa tunaelekea kuvunja rekodi ya kukopa kama vile nchi inaisha kesho.
Tukumbuke tuna watoto na wajukuu watakaohitaji kuishi katika nchi hii. Mikopo tunayokopa leo huku Waziri wa Fedha akitabasamu akiwa na afya tele...
Salaam shalom!!
Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si HAKI kuwaita wawekezaji Bali waporaji, na uporaji huo unashirikisha viongozi wetu wa ndani. Tulipopata...
Duniani tunapita hakuna kitakachobakia siku zote watu wema hawana maisha ukiamua kujitolea ujue maisha yako ni mafupi.
Wengi wanaachia mbuzi kula kwa urefu wa kamba kwa kuogopa kufupisha maisha watu waovu huishi maisha marefu ili wapate kuja kuhadithia yale mema ya watu wema waliyoyatenda watu...
Ni suala la muda tu kabla ya Tanzania kuingia katika klabu ya nchi zinazodaiwa zaidi Afrika na pia duniani (most indebted countries), sawa na DRC, Sierra Leone, Ghana, Angola....Argentina, Lebanon, Venezuela.
Tena kwa kasi hii, hilo laweza kutokea ndani ya miaka mitano ijayo. Kuwa katika...
Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi, amerusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia amekopa sana ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.