mchuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chief Godlove

    Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
  2. Introvert Gunner

    Je nyama ambayo Haina mchuzi wa nyanya

    Habari za mchana wadau ningeomba kuuliza nyama ambayo Haina mchuzi wa nyanya inafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo naombeni msaada wenu nipate kujua wadau
  3. Aaliyyah

    Jinsi ya Kupika mchuzi wa samaki na Nazi (chukuchuku)

    Natumaini wazima. Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi MAHITAJI Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu. Nazi, karoti, hoho, kitunguu maji, nyanya, chumvi na ndimu ukipenda. Andaa viungo vyako katakata size utayopenda...
  4. G

    Misaada tunayopewa na Marekani na Nchi za ulaya ni mapato kutoka kwenye mambo yanayokiuka dini / tamaduni zetu

    Mods naombeni msiifute maana maana hizi biashara zote zipo kihalali hizo nchi na zinatozwa kodi ambayo ni sehemu ya mapato ya nchi hizo zinazotumia kiasi flani kuwa misaada Misaada hii tunayoipata kwa kiasi kikuwa huwa ni kutoka kwenye kodi za biashara za nchi husika, katika biashara hizo kuna...
  5. sky soldier

    Ni kwanini Wasabato wanakataza wanawake kufundisha ama kuwa wachungaji wakati wanatumia vitabu vya Hellen G White? Iweje nyama ikataliwe mchuzi unywe?

    Sababu ya kukataza. 1Timotheo 2:12 >> Simruhusu mwanamke yeyote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume (ibadani). Mwanamke anapaswa kukaa kimya. Wasabato hawaruhusu mwanamke kufundisha kanisani au kuwa mchungaji cha ajabu wanatumia mafundisho ya moja wa waanzilishi wa kanisa hilo Hellen...
  6. S

    Pangu Pakavu Tia Mchuzi Nile

    PANGU PAKAVU TIA MCHUZI NILE ____________________________ ✍🏽Yesu alianza kazi ambayo alikusudiwa na Mungu kuja kuifanya duniani alipotimiza miaka 30 . Na aliifanya kwa miaka 3 tu akaitimiza akafa akaondoka duniani. Lakini, kabla Yesu hajaanza kazi hii aliyokusudiwa kuifanya...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Jean Baleke atamani kuinywa Yanga mchuzi

    Jean Baleke (kulia) akifanya yake. STRAIKA tishio wa Simba raia wa DR Congo, Jean Baleke, amesema yuko tayari kufia uwanjani ili ahakikishe anaifunga Yanga na kuipatia ushindi wa heshima timu yake, hivyo Wanasimba wanatakiwa kujua kuwa, Jumapili ni siku ya kwenda kufurahi. Baleke amejiunga na...
  8. Jade_

    Utengenezaji "White Sauce"

    Habari zenu, natumai mpo salama. Mara ya mwisho nilipika pilau na leo napika white sauce inayosindikiza pilau au chakula kingine chochote kinachohitaji mchuzi. Kama kawaida ukitaka kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza “kuilike” hiyo video, “kusubscribe”...
Back
Top Bottom