Jamani huyu ni mchepuko wangu wa muda mrefu sana.
Sasa alinunua shamba la miti huko iringa miaka mingi nyuma, na this time ndio ile miti imeshakuwa kwenye stage ya kuvunwa.
Sasa walikuja wachina wakataka kumpa M50 akachomoa. Ndio jana baada ya penzi letu zito akiwa amelala kifuani mwangu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nilikuwa na mchepuko wangu huko Mneya. Mara nyingi nilipokuwa nikitoka Dar na kwenda Mbeya nilikuwa napunguza gundi pale kwake.
Ni Binti mzuri, mdogo na Mrembo. Dogo ana sura ya Mjomba ila kafungisha balaa mtoto yule wa Kinyaki.
Hapo katikati...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kisa chenyewe kinaanzia mbali kidogo, hivyo naomba msomaji usome kwa kutulia ili kama una ushauri wowote wa maana, basi uendane similar na kile nilichoandika. Ok Soma sasa hapo chini....
Nikiwa nimeingia katika umri wa kubalehe (18 yrs old), nilijikuta naangukia...
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana...
Dah, leo Mchepuko wangu Toto Moja la Mbeya Mwenye shepu ya haja japo Sura ni ya Mshua wake limenipa makavu na kunitukana kwenye siku ya Valentine.
Huu ni mchepuko wangu sawa na Mama J mchepuko wa mdogo wangu @Deepond japo mi naishi Rungwe yeye anaishi Mbeya Mjini. Mara nyingi nikienda Mbeya...
Sehemu ya 1
Mimi ni mfanyakazi katika taasisi mojawapo iliyopo chini ya wizara ya elimu iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha (Tengeru). Makazi yangu yapo jijini Arusha. Muda mrefu nimekuwa kwenye mgogoro mkubwa wa ndoa na mke wangu jambo lililonipelekea kutafuta mchepuko wa kuupooza moyo...
Habarini wanajamvi.
Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko wangu(sio mke wangu) angekua na akili nzr ningemfungulua hii biashara.
Biashara yenyewe ni kusambaza...
Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa.
Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
Ama kweli huyu demu ananipenda sana sijui kwanini halafu ukistaajabu mimi sijawahi kumpa chochote kile zaidi ya kumla mbususu ttu yeye ni mzungu na hapa bongo alikuja kama internship katika taasisi moja ya kimataifa hapa bongo nilimla show mara kadhaa ila alioneka ameelewa shoo yangu
Baada ya...
Ukisikia mwezi wa shetani, Basi Ndo huu mwezi Machi na mwezi April.
Yaan Hii miez Ni mwendo wa migogoro TU kila kukicha na Mchepuko wang mamaJ.
Likibanduka hili linaibuka jingine.
Kama mnavokumbuka kipind Cha nyuma nilishamuandaa kua akivunja Kikoba chake, kile Kias chochote atakachokua...
Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake.
Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali...
Ilkua Ni Siku ya alhamis jion,
Katikati ya ugomvi uliosababisha tukawa tumenuniana sana na Mchepuko Wangu wa Siku zote Mama J.
Kuna vitu vya kijinga alijiongelesha mbele yangu tukiwa kitandani, tulijibizana sana mpk tukifikia hatua ya kutamkiana bora Tuachane.
Ila Sasa baada ya kujitafakar...
2019 tulikorofishana na mke wangu akawa ameenda kwao nikamfata akagoma
Tukatuma ndg mpk wazee akakataa hataki ndoa hii tena(wife ana gubu na me ni mkurya mkorofi so ilitupa shida sana kwenye ndoa) hapo tulikuwa na 3yrs na mtoto mmoja
Basi baada ya jitihada kubwa za usuruhishi kushindwa...
Nikikumbuka nilivyowindwa na yule mstaafu na jinsi Baba yangu mkubwa alivyoingilia kati kunisuru na leo nipo hapa nimesalimia nae.
Hakika kama siku ya kifo haijafika haijafika tu.
Mwisho kabisa mke wa mtu ni SUMU ingekuwa ndio zama za sasa ningekuwa nimefukiwa ardhini.
Nasisitiza tuwe makini...
Shemeji yang nnaemzungumzia ndie yule niliwai mzungumzia siku moja humu jf kwenye Huu Uzi.[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41201873
Ni kwamba wiki mbili zilizopita alikuja kupata msiba wa mama ake mzazi uko mkoani.
Sasa juzi nikiwa kwa Mchepuko Wangu mama J Akanambia...
Baada ya kipind kile kuleta Ujinga wa kuniomba Kodi ya fremu kwa nguvu bila utu kipind ambacho nmetoka kuibiwa dukan kwangu, ikapelekea kuua kabisa Lile wazo langu la kumfungulia biashara yake ya urembo wa kina mama.
Sasa Ni mwezi umepita aliponiomba nimfikirie tena niurejeshe Moyo nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.