Mchicha ndio mboga inayopatikana kwa urahisi Dar. Nyama ya ng'ombe na Samaki ni anasa Dar es salaam.
Mchicha huu unaolika kwa asilimia 100 kila siku unamwagiliwa kwa maji ya mavi kwenye mabonde yote ya Dar es salaam
Upatikanaji wa maji ni shida. Watu wa Dar wengi kama asilimia kubwa hawanawi...
Sikuhizi imekuwa kawaida sana watu kula ndizi, wali, ugali huku mboga ikiwa ni maharage, nyama, mchuzi, n.k. bila kutumia mboga za majani aina ya chakula maarufu chenye nyuzi kama figili, mchicha, n.k. kama ipo inakuwa ni kiasi kidogo sana ukila tonge mbili za kipimo sahihi habari imeisha...
Inamaanisha nini?
Niliota hivi karibuni!
Katika ndoto hiyo, tulikuwa sehemu ambako chakula kilikuwa kinagawiwa kwa utaratibu wa "self service".
Nilisimama kwenye foleni kama wenzangu kuelekea kwenye meza ya vyakula, na nilipofika, vyombo vikawa vimeisha. Ilinibidi mimi, pamoja na waliokuwa...
Nafanya biashara ya kuuza mboga za majani za aina tofauti, kwa hali hii ya joto zinawahi kusinyaa hivyo kupoteza muonekano wake mzuri na kukosa wateja.
Nipeni mbinu ya kufanya mboga za majani zibaki fresh angalau kwa siku 3 hadi 5
Mwanzoni mwa mwaka 2020, nilifanya mazungumzo na kijana mmoja muuza mahindi ya kuchoma Mjini Kahama. Nilitaka kufahamu, pamoja na mambo mengine, manufaa wanayoyapata kutokana na hiyo biashara.
Aliniambia, ni biashara inayomlipa sana. Alipokosa nafasi ya kuenedelea na masomo baada ya kuhitimu...
Heri ya Pasaka Wakuu,
Kama swali linavyouliza hapo juu, unatumia njia gani kuhifadhi matunda na mboga za majani zisiungue na barafu au kuharibika ndani ya muda mfupi?
Huwa nikiweka tunda kwenye barafu nikiwa nataka lipate baridi kwa mfano, nikijisahau nakuta limeungua, au ukiweka matunda/mboga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.