mauaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Kamanda Muliro adai Sativa alisema mwenyewe kuwa alitekwa na washkaji

    Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne Muliro, hivi karibuni akiwa anazungumza na Chief Odemba kwenye tukio maalum lililoandaliwa na TLS amezungumzia kwa uchache kuhusu sakata la kutekwa kwa Sativa. Soma pia: Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata...
  2. Abdul Said Naumanga

    TLS - Kongamano la kitaifa kujadili matukio ya utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania

    (FULL VIDEO IPO CHINI) Leo tarehe 5 Oktoba 2024, mawakili wote wa Tanzania bara, hasa wa jijini Dar es Salaam, wanakutana katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam, ili kujadili suala la utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania. Tukio hili la kitaifa linaandaliwa na Tanganyika Law Society...
  3. C

    Pre GE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

    Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo. Wakiambiwa mwenyekiti wao/...
  4. Gabeji

    Maandamano kupinga mauaji na watu wasiyojulikana yanatakiwa kuwa ya wananchi wote bila kujali dini wala chama cha siasa

    Ndugu watanzania, inchi yetu inapitia kipindi kigumu sana hasa juu la swala la mauwaji hayakubaliki kabisa iwe kwa sbb yoyote ile, mfalme yoyote yule hana mamlaka ya kukatisha uhai wa mtu yoyote yule. Rai yangu watanzania swala la kudai haki kwa njia ya amani ni la kikatiba, mandamano...
  5. Ngongo

    Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

    Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU. Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi...
  6. Inside10

    Kwa yanayoendelea, picha inaongea

    Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
  7. J

    Mo Dewji: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼 ====== Mohamed Dewji ameandika: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
  8. D

    Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    C&P from Face Book. KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI Na Bollen Ngetti SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili lililofunika kutekwa, kuteswa na hatimaye kuuawa kikatili Mzee Ally Muhammed Kibao al-maarufu MeD...
  9. mdukuzi

    Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

    Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao. Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk...
  10. Waufukweni

    Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

    Mariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake. Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya...
  11. Msanii

    Taarifa za miili 3 kuokotwa eneo alilotupwa Mzee Kibao ni kweli? Imeshatambuliwa ni akina nani?

    Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao? Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo? Watanzania mlioko nyumbani, nendeni hospitali ya Mwananyamala kufuatilia hili suala. Iwapo miili hiyo ipo, DNA zichukuliwe kutambua next kin...
  12. J

    Shuhuda adai Hayati Ali Kibao wa CHADEMA alipigwa kichwani na kutobolewa macho

    Msikilizeni huyo shuhuda. Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho. "Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki nilikuja kuaangalia tulikuta mtu amakekufa, kapigwa kichwani, amevia damu, amaetobolewa macho unaona...
  13. MAKANGEMBUZI

    Ni kama Mzee Ali Kibao alijua yupo hatarini?

    Nipo najiuliza ilikuwaje akawa anatumia usafiri wa bus naamini huyu mzee hawezi kosa usafiri wa kusafiri kwenda hapa na pale. Imani yangu inanituma alijua anafatiliwa akawa anajichanganya mazingira ya watu wengi kama kusafiri na bus ambapo aliona kwake itakuwa ni salama zaidi. Lakini hawa...
  14. Christopher Wallace

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuhudhuria mazishi ya Ali Mohamed Kibao jijini Tanga

    Kada wa Chadema aliyeuwawa na wasiojulikana atazikwa leo na Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi atakuwepo. Inna lillah waina illah rajiuun ----- Mwili wa aliyekuwa Kada wa Chadema, Ali Kibao unatarajiwa kuzikwa leo Jijini Tanga, kata ya Tongoni katika kijiji cha Tarugube, baada ya...
  15. Determinantor

    Kuuawa kwa Ali Kibao: Polisi watakuja na sababu za akina Dr. Ulimboka, Prof. Juan na wengine?

    Alipouwawa Professor Jwani Mwaikusa (sidhani kama nimepatia jina) na aliposhambuliwa Dr Ulimboka, na alipotekwa Mo Dewji, Jeshi la Polisi lilikuja mbele ya media na "Wahalifu" ambao sijui Hadi Leo waliishia wapi. Nawasihi Sana, tusiendelee kuchezea uhai wa watu, Kuna Leo kuna Kesho, madaraka...
  16. L

    Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
  17. Erythrocyte

    Wito: Kufuatia Mauaji ya Mzee Ali Kibao, CHADEMA isipokee salamu zozote za Pole kutoka CCM wala Serikalini

    Hii ni kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kumkufuru Mungu na kujitafutia laana ya kujitakia ya Milele. Salamu zingine ambazo hazipaswi kupokelewa ni kutoka kwa viongozi wote Wastaafu wa Tanzania wanashabihiana na CCM na bila shaka wanaoshabihiana na Serikali hii. Hawa wote kwa Umoja...
  18. Erythrocyte

    Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amesema kwamba baada ya Uchunguzi wa Mwili wa Marehemu ulioshuhudiwa na Ndugu wa Marehemu pamoja na viongozi wa Chadema, Imebainika kwamba Ally Kibao ameuawa. Zaidi ni kwamba amepigwa kupita kiasi na Pia alimwagiwa Tindikali ili aungue kabisa asitambulike...
  19. 4

    Nani yupo nyuma ya utekaji na mauaji haya Tanzania? Kauli moja nini kifanyike?

    Wakuu habari, Sio wote JF wenda wanaguswa na yanayoendelea ndani ya nchi hii (zingatia wapo machawa wa ccm) Taifa sasa linajaa laana za watu kutwekwa, kuuawa (machozi ya damu). Nani yupo nyuma ya upumbavu huu? Nani anaratibu kwa faida ya nani? Kama ni kwa faida ya Taifa nakataa, kama ni kwa...
  20. Kalamu Nzito

    Pre GE2025 Rais Samia kuachia madaraka nako ni Busara!

    Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa. Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
Back
Top Bottom