Makanisa mengine kama Lutheran na Anglican divai Huwa watu wanashiriki lkn Kwa catholic Huwa wanakunywa wenyewe tena wanazinywea kitimito kabisa kwenye makazi yao
nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya
mchungaji - Anna unamjua
Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu
Mchungaji - Ania unajuma...
Dagon ni jina la mungu katika hadithi za kale za Wafilisti. Anatajwa mara kadhaa katika Biblia, hasa katika kitabu cha 1 Samueli. Dagon alikuwa mungu wa kilimo na uzazi katika utamaduni wa Wafoinike na Wafilisti, na sanamu zake zilionekana kama mchanganyiko wa binadamu na samaki.
Katika Biblia...
Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza kwamba kanisa Katoliki linawezaje kuthibiti migogoro ndani yake? Hata kama ipo ni ngumu kuisikia mtaani kiasi cha kutitishia ustawi wa kanisa hilo, baadae nikapata jibu japo si la moja kwa moja kwamba yafuatayo yanalifanya kanisa kuwa salama;
Elimu iliyotukuka kwa...
Papa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na hakuna shida yoyote. Anafanya mpango kureview suala hilo.
======
In a new interview, Pope Francis...
Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya.
Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
Kadinali mmoja wa Ujerumani ametoa rai kwa Kanisa Katoliki kuondoa kigezo cha useja kwa mapadri wa Kanisa hilo.
Katika mahojiano na gazeti la Ujerumani la Sueddeutsche Zeitung, askofu mkuu Reinhard Marx amesema mapadri wa Katoliki wangeruhusiwa kuoa ikiwa wanapenda kufanya hivyo.
Pia alitaja...
PICHA: Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi
Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi ameagiza mapadri wote wa jimbo hilo kupata chanjo dhidi ya Uviko 19 kwa kuwa ugonjwa huo unaumiza na kuondoa uhai.
Ametoa agizo hilo leo Jumanne...
Hello habari Ndugu Nina swali . Hivi mapadre wakikatoliki pale wanapokuwa wazee je wana mafao yeyote ya kuwasaidia kujikimu? Au je pale waumwapo wakati wa uzee wao ni Kanisa linatakiwa kuwahudumia ama inakuwaje! Au wanakuwa wanaishi wapi ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.