manchester united

Manchester United Football Club is a professional football club based in Old Trafford, Greater Manchester, England, that competes in the Premier League, the top flight of English football. Nicknamed "the Red Devils", the club was founded as Newton Heath LYR Football Club in 1878, changed its name to Manchester United in 1902 and moved to its current stadium, Old Trafford, in 1910.
Manchester United have won more trophies than any other club in English football, with a record 20 League titles, 12 FA Cups, five League Cups and a record 21 FA Community Shields. United have also won three UEFA Champions Leagues, one UEFA Europa League, one UEFA Cup Winners' Cup, one UEFA Super Cup, one Intercontinental Cup and one FIFA Club World Cup. In 1998–99, the club became the first in the history of English football to achieve the continental European treble. By winning the UEFA Europa League in 2016–17, they became one of five clubs to have won all three main UEFA club competitions.
The 1958 Munich air disaster claimed the lives of eight players. In 1968, under the management of Matt Busby, Manchester United became the first English football club to win the European Cup. Alex Ferguson won 38 trophies as manager, including 13 Premier League titles, 5 FA Cups and 2 UEFA Champions Leagues, between 1986 and 2013, when he announced his retirement.
Manchester United was the highest-earning football club in the world for 2016–17, with an annual revenue of €676.3 million, and the world's third most valuable football club in 2019, valued at £3.15 billion ($3.81 billion). As of June 2015, it is the world's most valuable football brand, estimated to be worth $1.2 billion. After being floated on the London Stock Exchange in 1991, the club was purchased by Malcolm Glazer in May 2005 in a deal valuing the club at almost £800 million, after which the company was taken private again, before going public once more in August 2012, when they made an initial public offering on the New York Stock Exchange. Manchester United is one of the most widely supported football clubs in the world, and has rivalries with Liverpool, Manchester City, Arsenal and Leeds United.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Rais Samia akutana na Mmiliki wa Klabu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu ya Dar leo Aprili 11, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025. Katika mazungumzo yao Rais Dkt. Samia amemshukuru Sir Jim...
  2. L

    Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  3. GENTAMYCINE

    Ukiona Kiongozi Mkuu wa Taifa lolote lile ni Shabiki Nusu Liverpool na Shabiki Nusu Manchester United jua yafuatayo...

    1. Ni Mpumbavu asiye na mfano 2. Ni Mnafiki mkubwa 3. Hajui anachokifanya (Juha) 4. Muongo na Hafai 5. Mchawi / Mshirikina 6. Anapelekeshwa kama Mwehu 7. Analazimisha umaarufu na kupendwa Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
  4. magnifico

    FA CUP : Mechi Kati Ya Manchester United Vs Fulham Fc yasimama Ili Mchezaji afuturu

    Leo katika mchezo wa mwisho wa kombe la FA mwamuzi alisimamisha mchezo kwa dakika kadhaa ili kuruhusu mchezaji wa Manchester United Noussair Mazraoui aweze kufuturu. My Take : Dunia ingekuwa sehemu salama kama wote tungeishi kwa kupendana hivi pasi kujali imani zetu, dini zetu. Leo Noussair...
  5. upupu255

    Ni wakati wa kuiweka Manchester United kwenye maombi isishuke daraja msimu huu!

    Man U hivi sasa sio tena Mashetani bali ni vibonde wa EPL Goodison Park nyumbani kwa Everton tayari wamekalia chumba 2 na ni Half Time
  6. Mashamba Makubwa Nalima

    FCSB(FC Steaua București) Special Thread

    Nickname(s): Roș-albaștrii (The Red and Blues) Founded: 7 June 1947 President: Valeriu Argăseală Head Coach: Elias Charalambous League : League 1 Website: fcsb
  7. Introv

    Msimu huu Manchester united inaenda kushuka daraja

    Nimeangalia mwenendo wa hii timu msimu huu kwa jinsi inavyocheza jana ilipokea kichapo Cha Gori 2 bila kutoka Kwa new castle ikiwa nyumbani kwake old Trafford uwanja unaovuja na kufuga panya nimethibitisha Sasa hivi hii timu imebaki na mashabiki wazee ambao waliishuhudia ikibeba makombe Kwa...
  8. Introv

    Arsenal lini tutabeba UEFA Champions league?

    Katika maswali ambayo natesekaga nayo nikiwa nacheki game mashabiki wenzangu wananiuliza ninaUEFA ngapi aisee huwa naishia kutukana tu. Hivi hii timu yangu itabeba kweli UEFA maana najiona nikifa ikiwa bado haijabeba aisee The Gunner wenzangu tatizo ni Nini maana ya timu kubwa na UEFA hatuna
  9. Allen Kilewella

    Manchester United ndiyo umefanya watanzanIa waache kuangalia ligi ya Uingereza

    Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio. Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David Beckham, ligi ya Uingereza ilikuwa na mashabiki wengi sana Tanzania. Lakini baada ya kuondoka Kwa...
  10. Nehemia Kilave

    Full Time: Manchester City 1 - 2 Manchester United | Ligi kuu uingereza Etihad stadium

    Manchester Derby live msimu 2024/25 , Mpira ushaanza 6' 0-0 14' mount anaumia atolewa nje nafasi yake inachukuliwa na Mainoo 18' 0-0 22' bado 0-0 mpira umebalance 30' 0-0 35' 0-0 man city anapata kona 36' GOOOAL MAN CITY 1-0 MAN UNITED Garvadiol 41' 1-0 HT Manchester City 1-0...
  11. Chachu Ombara

    Ruben Amorim ateuliwa kuwa kocha mpya wa Manchester United

    Manchester United wamemchagua kocha wa Sporting Ruben Amorim kuwa meneja wao mpya. Mreno huyo mwenye umri wa miaka 39, ambaye atahamia OldTrafford kutoka klabu ya Lisbon mnamo Novemba 11, ametia saini mkataba hadiJuni 2027. Mshambulizi wa zamani wa United Ruud van Nistelrooy,ambaye alichukua...
  12. Waufukweni

    Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya West Ham United

    Manchester United imemfuta kazi kocha Erik ten Hag kufuatia mwanzo mbaya wa msimu wa 2024/25. Klabu hiyo, maarufu kama The Red Devils, ipo nafasi ya 14 katika msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kupoteza mechi nne kati ya tisa za kwanza. Kipigo cha jana cha bao 2-1 dhidi ya West Ham United...
  13. Mkalukungone mwamba

    Manchester United wakiongozwa na CEO, John Shiels wafika kileleni mwa mlima Kilimanjaro

    Kupitia kwenye mtandao wa Instagram Manchester United Foundation wameandika na kuweka na picha wakionyesha wapo watu kadhaa akiwemo CEO John Shiels wakiwa wapo kileleni kabisa mlima wa KIlimanjaro. Ujumbe huo unasomeka. Wapandaji wetu wa ajabu wa MlimaKilimanjaro wametufanya tujivunie sana -...
  14. JanguKamaJangu

    Rekodi za Makocha wa Manchester United kwenye michuano ya Ulaya tangu Fergie alipostaafu

    1. Michael Carrick Matches – 1, Wins – 1, Draw – 0, Loses – 0, Win % - 100 2. Jose Mourinho Matches – 29, Wins – 18, Draws – 6, Losses 10, Win % - 62 3. Ole Gunnar Solskjaer Matches – 35, Wins – 19, Draws – 6, Losses – 10, Win % - 54 4. David Moyes Matches – 10, Wins – 5, Draws – 3...
  15. Chachu Ombara

    Raphael Varane atangaza kustaafu mpira wa miguu wa Kulipwa Akiwa na Miaka 31

    Raphael Varane, beki wa Ufaransa, ametangaza rasmi kustaafu kutoka mpira wa miguu wa kulipwa akiwa na umri wa miaka 31. Varane soka lenye mafanikio makubwa, akishinda mataji mengi, ikiwa ni pamoja na mataji manne ya UEFA Champions League na mataji matatu ya La Liga wakati akiwa Real Madrid. Pia...
  16. JanguKamaJangu

    Hatimaye Anthony Martial apata timu, atua Ugiriki

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Anthony Martial anatarajiwa kurejea uwanjani baada ya kusajiliwa akiwa mchezaji huru katika timu ya AEK Athens inayoshiriki Ligi Kuu ya Ugiriki. Martial (28) ambaye alidumu United kwa Misimu Tisa, hakuwa na timu tangu alipoondoka klabuni hapo...
  17. JanguKamaJangu

    Hii ndio mishahara ya Wachezaji wa Manchester United Msimu huu 2024/2025

    Struggling star is Man United's highest earner as transfer flop makes the top five - but key midfielder is the LOWEST-paid player in Erik ten Hag's squad Manchester United's wages for the 2024-25 season have been revealed with three players currently earning more than £300,000 a week. Captain...
  18. Waufukweni

    Mkurugenzi Mtendaji wa Man United: Ten Hag ndiye kocha sahihi kwetu na tunamuunga mkono kikamilifu kwa 100%

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United Omar Berrada anasema kocha Erik ten Hag anaungwa mkono kikamilifu na klabu hiyo na ana amini kuwa ndiye kocha atakayewapa mafanikio ya muda mrefu. "Tunafikiri Erik Ten Hag ndiye kocha sahihi kwetu na tunamuunga mkono kikamilifu kwa 100%". United...
  19. Movic Evara

    Manchester united kafa mbele ya Liverpool, Salaah kashika rekodi hii

    The Egyptian King 👑 🔥 Mohamed Salah amehusika kwenye magoli (17) dhidi ya Manchester United, kuliko mchezaji yoyote katika historia 💥 ➜ 11 - Magoli aliyowafunga. ➜ 06 - Assists alizotoa. Full - Man United 0 - 3 Liverpool ⚽️ Luis Diaz ›› 🅰️ Salah — 35' ⚽ Luis Diaz ›› 🅰️ Salah — 42’ ⚽️...
  20. JanguKamaJangu

    Dirisha la Usajili limefungwa, Sancho atua Chelsea, Arsenal yambeba Sterling

    Winga wa Manchester United amekamilisha usajili wa mkopo wa msimu mmoja kwenda Chelsea, mkataba ukiwa na sharti la kuwa wanaweza kumsajili kwa Pauni Milioni 23 ikiwa ni miaka mitatu tangu United ilipomnunua kwa pauni Milioni 73 kutoka Borrusia Dortmund. Upande mwingin, Raheem Sterling wa...
Back
Top Bottom