malumbano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SAYVILLE

    Leo tunamaliza malumbano kuhusu upangaji wa matokeo katika ligi ya NBC

    Yanga waliangalia ratiba ya ligi wakaona muda sahihi wa harusi ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto ni huu ndiyo wakabariki hili zoezi zima linaloendelea. Wachezaji wa Yanga wamekuwa kwenye pilikapilika za shughuli za hii harusi zaidi ya wiki moja sasa ila cha ajabu wakiingia uwanjani wao ndiyo wana...
  2. Raia Fulani

    Chalamila hoyeee. Namuona ITV malumbano ya hoja anashusha nondo

    Tangu mwaka kuanza nadhani hiki ni kipindi cha kwanza bora itv kuhusiana na kuendesha biashara Kariakoo kwa saa 24. Chalamila leo katulia. Anajenga hoja. Inaonekana alijiandaa ilivyo kwa kipindi hiki. Sio yule Chalamila mropokaji na mbwatukaji. Amekua kiasi. Namsikia akiongea kwa data na...
  3. K

    YAHUSU MTAALA MPYA

    Jana usiku nilifuatilia mjadala wa Hoja yenye kichwa cha habari kinachohusu Mtaala Mpya katika Shule za Sekondari ambayo inasisitiza "Elimu Ujuzi". Nia ya mpango huu ni nzuri kabisa na nimponngezee Mhe. Rais na viongozi wote walioliona wazo hili. Wanafunzi wanatakiwa wawe na elimu ya ujuzi ili...
  4. The Legacy

    Naomba Malumbano mbashara na kijana Lucas Mwashambwa juu ya mambo ya msingi kuhusu Maendeleo ya Taifa hili.

    Wasalam, Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia wanabodi wengi wakisifia na kuimba mapambio ya kukisifu chama cha mapinduzi CCM kuwa Kimefanya mambo makubwa na yakupendezwa bila kusahau mapungufu yake. Naomba jamii forum tukubaliane muda na siku ili malumbano yetu yawe mubashara hapa kwa jukwaa kila...
  5. Akotia

    Kutoka Mtandao wa Malumbano Kwenda Mtandao wa Habari

    Ohaa Wana jukwaa Jf imeendelea kuwa mtandao muhimu ambao umekuwa kama mkondo wa pili wa habari kwa jamii ya Tanzania, na sasa unaonekana kama kama sehemu ya kuongelea masuala kedekede,Sababu ya uwezo wake wa kuchapisha habari haraka na kwa urahisi, na pia kwa kuwa jukwaa la user-generated...
  6. MK254

    Malumbano ya viongozi HAMAS: Walioko ndani wanataka vita visitishwe, walio nje wanataka muda uvutwe

    Viongozi wa HAMAS walio ndani ya Gaza wapo radhi vita visitishwe na mikataba itiwe saini, wao wameshaonja joto la jiwe, hawana hamu tena, ila wale wanaoishi kwa raha kule nje wanataka muda uvutwe kwanza wapate dili nzuri... ===================== Hamas's top leaders are arguing about the...
  7. K

    Tatizo la uhaba wa sukari kujirudia kila mara na kuyumbisha bei sokoni, nini suluhisho la kudumula kutatua tatizo hili?

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja ikihusu TATIZO LA UHABA WA SUKARI KUJIRUDIA KILA MARA NA KUYUMBISHA BEI SOKONI, NINI SULUHISHO LA KUDUMULA KUTATUA TATIZO HILI? Waalikwa walikuwa kutoka Bodi ya sukari, kutoka Wizara ya Kilimo na wote waliingia mitini. Yaliyozungumzwa pale yanatisha. Kumbe...
  8. HelcopterChopa

    Malumbano ya kisiasa hayana afya kwa ustawi wa demokrasia nchini

    Yanayoendelea miongoni mwa vyama vya siasa na vyama vya kiraia hususani chadema na sauti ya watanzania ni kudhoofisha afya na ustawi wa demokrasia nchini. Ni kudhoofisha jitiahada zilizoanza vyema sana za kutetea haki, uhuru, usawa na demokrasia. Malumbano yanarudisha nyuma na kupoteza uelekeao...
  9. GENTAMYCINE

    Malumbano ya Hoja ITV: Kama wanaochangia ndiyo wanavyuo wetu acheni tu DP World wainunue hata Tanzania yote!

    95% ya wasomi wa sasa hivi wa hasa kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka jana 2022 kichwani hamna kitu, hawajiamini na ujengaji wao wa hoja si tu ni mbovu bali ni wa kimasikini mno kifikra. Kwa huu uchangiaji wa hawa wasomi (wana vyuo wetu) na wengi wakitokea UDSM ninaouona sasa (mubashara) ITV daima...
Back
Top Bottom