Inafanana na ule uzi wa vyakula ila ule ni worldwide.. Hapa kwa asilimia 100 ni vyakula tupikavyo na tulavyo kila siku
Huku hakuna chopstick, hakuna kuku kwa mrija ama kula na mikono miwili yaani visu na uma😂
TAHADHARI: KAMA UNA NJAA NA UKO MBALI NA SEHEMU YA KULA USIFUNGUE HUU UZI
Nb: Makande...
Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
Wakuu nimevutiwa na mijadala mikubwa huko Duniani inayohusu ukabila, uraia, u bara na urangi hasa iliyoanza huko Afrika kusini ambapo watu wanavutana je wazungu ama watu weupe wa Afrika kusini ni waafrika ama sio waafrika.
Na je uafrika ni rangi ama ni ubara bila kujali rangi yako. Je kama ni...
Watanzania wa asili – Hawa ni watu wa makabila ya kienyeji ya Tanzania kama Wanyamwezi, Wazaramo, Wasukuma, Wachaga, Wahaya, n.k.
Hili suala halina chembe yoyote ya kikabila maana ni uhalisia kama ilivyo kwa wafugaji waliofanikiwa sehemu kubwa ni wasukuma na wamasai, nikisema sehemu kubwa ya...
Sijawahi kuelewa kwanini Wabongo wengi wanaichukulia Afrika Kusini kama nchi ya Wazulu wakati wazulu wanakadiriwa kuwa milioni 12 tu kati ya watu milioni 60.
Kuna mtu nimekutana naye anasema Wazulu wamechachama kupeleka wanajeshi wengi zaidi Congo asijue hata Ramaphosa mwenyewe sio Mzulu...
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide.
Bila Genocide hana cha kusimamia.
Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
Haya ndio makabila na vyakula vyao pendwa
1.Mpare -makande
2.Msukuma-Ugali
3.Mhaya-Ndizi
4.Mnyakyusa-Parachichi
5.Mmatumbi-Wali
6.Mluguru-Mlenda
7.Mchaga-Kitimoto
8.Mmakonde-Ming'oko
9.Wazenji-Chapati,maandazi plus Urojo
Ongezeeni makabila mengine hapo chini
1. Wapare
2. Wakinga
3. Waha
4. Wagogo
5. Wachagga
6. Wakurya
7. Wajita
8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani
Naomba kuwasilisha
Pang Fung Mi
The 47 Most Prominent Tribes in Africa
1. Maasai (Kenya🇰🇪, Tanzania🇹🇿): Migrated from the Nile Valley between the 15th and 18th centuries AD.
2. Zulu (South Africa🇿🇦): Rose under Shaka Zulu in the early 19th century, with Bantu roots dating back to 3000–2000 BC.
3. Hausa (Nigeria🇳🇬, Niger🇳🇪...
Kataa ndoa, mwanenu Makabila yamemshinda sasa anajuta
==
Nyota wa muziki wa Singeli nchini Dulla Makabila ameweka wazi leo kuwa moja ya maamuzi anayoyajutia kwenye mahusiano yake na aliyekuwa mke wake Zaiylissa ni kutoa talaka.
Pia, Soma: Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto...
Mara kadhaa hapa chini yamekuwa yakifanyika matamasha au shughuliza kijamii zinazolenga makabila fulani kama
WASUKUMA FESTIVAL.
https://shinyanga.go.tz/new/rc-mndeme-ashiriki-tamasha-la-sanjo-ya-busiya-shinyanga
WAHAYA FESTIVAL:https://www.youtube.com/watch?v=qR_H1N7bWjo
WACHAGA...
Kila kabila au mkoa una utambulisho wao hapa mjini Dar
1. Watu kutoka Tanga
Hawa hujulikana kama waganga wa kienyeji,
Yaani ukimwambia mtu unatokea Tanga mtu atakuwazia mganga tu
Kwa wanawake wa Tanga Huwa wanasifika Kwa mahaba japo binafsi sijawahi kukutana na Binti wa Kitanga
2 Waha, watu...
Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana .
Nimeambiwa ni muhaya
Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau sana ukionyesha unawadharau,. Nilikuwa naona ndugu wa marehemu baba Moja ya ugomvi mkubwa ni pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.