magufuli aongezewe muda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gai da seboga

    Rais Magufuli akifanya mambo haya, Watanzania watamlilia wenyewe aongezewe muda wa kutawala

    Habari zenu mabibi na mababu! Kwanza kabisa ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa kila mtu anapoambiwa au kusikia kuongezewa muda wa kutawala Rais magufuli anashikwa na ghadhabu na kutamani ata kumpiga mtu ngumi kutokana na ugumu wa maisha uliopo. Sio watumishi wa Serikali, sio...
  2. Analogia Malenga

    Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

    Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais. Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha. Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya...
  3. mwengeso

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aongezewe muda wa kutawala

    Nafuatilia kampeni za Uchaguzi Mkuu, sina shaka yoyote kuwa upinzani haujawa tayari kupewa ridhaa na wananchi kuongoza nchi hii. Kwa sababu kuu zifuatazo, Bunge la kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu, lipitishe kwa kauli moja, pasiwe na uchaguzi wa Rais hadi 2030. Kwa maana hii Rais Magufuli aendelee...
  4. dosama

    Mzee Mwinyi: Rais Magufuli aongezewe muda wa miaka 5 zaidi kama shukrani

    "Mimi ni mzee sasa na maneno yangu pengine hudhaniwa ndoto za uzee. Ningetamani mambo mawili, moja la hakika lingine la kufikiriwa. La hakika tuwashawishi watanzania Rais wetu asipate kura ya kumkataa, mwenye kumkataa atupe sababu. La kufikirika ni kwamba nchi yetu inaendeshwa kwa Katiba na...
  5. Return Of Undertaker

    Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

    "Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM). Spika Ndugai ajibu hivi...
Back
Top Bottom