Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.
Dominika njema
Wazaramo habari zenu.
Sisi wa bara Tulivyokuja huku pwani ya Dar-es-salaam ndio tukajua hii mboga inaitwa dagaa mchele.
Sawa tunajua kwenye utafutaji kigetogeto lazima ushawahi kula sana Dagaa mchele, mixer tembele na ugali.
Sasa leo nimewaza na nimeumia sana juu ya aina ya ulaji wetu sisi...
Habari wanajf,
Kula ugali kuna faida kadhaa za kiafya zaidi ya zile nilizozitaja awali:
1. Kontrola ya Uzito: Ugali unaweza kusaidia katika kudhibiti uzito kwa sababu ya ukamilifu wake na uwezo wake wa kutoa hisia za kujaza haraka. Hii inaweza kusaidia kuzuia ulaji wa ziada.
2. Ukolezi Bora...
Magonjwa yamekuwa mengi sana siku hizi, hospital nyingi zimezidiwa na wagonjwa.
Pamoja na mambo mengine ukosefu wa lishe bora nao pia ndio chanzo cha baadhi ya magonjwa mengi.
Kutokana na umaskini uliokithiri miongoni mwetu watu hula chochote kilicho mbele yao kutokana na wengi kutoweza kumudu...
Vitamini unazotumia kabla ya kujifungua zina virutubisho vingi mtoto wako anavyohitaji, hivyo basi kuna umuhimu gani waa mama mjamzito kuangalia kwa makini lishe yake?
Inaathiri afya ya mtoto wako maishani: Kila unachokula ukiwa mjamzito kinamuathiri mtoto na maisha yake kwa ujumla, hivyo ni...
Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora.
Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia faida za lishe bora na kiwango cha chakula ambacho mtu anapaswa kula kwa ajili ya afya yake.
Wataalamu...
Jamii nyingi za Kiafrika zinasumbuliwa na tatizo ugonjwa wa akili kwasabab nyingi moja ikiwemo.
1. Ukosefu wa lishe bora: Ambapo watoto wanakosa lishe wakina ndani na nje baada ya kuzaliwa ambapo inapelekea kuwepo na changamoto nyingi zinazosababishwa na matatizo ya kukosekana kwa Afya ya Akili...
Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani.
Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele unauzwa sh 3600 kwa kilo.
Huko mitaani wananchi wanalia juu ya ugumu wa maisha. Maana uchumi...
Julai Mosi mwaka huu, mradi wa “maharagwe madogo, lishe bora” uliotekelezwa na timu ya utafiti wa maendeleo ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha China ulikamilisha mafunzo katika vijiji vinne vya kielelezo ambavyo ni Mtego wa Simba, Makuyu, Kitete na Peapea mkoani Morogoro.
Miezi ya Juni na Julai kila...
Inakadiriwa Watu Milioni 600 (Takriban Mtu 1 kati ya 10) huumwa baada ya kula Chakula kisicho salama, ikielezwa 420,000 hupoteza maisha kila Mwaka
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Watoto chini ya Miaka 5 huathirika na madhara ya Chakula kisicho salama kwa 40% ikikadiriwa kwa mwaka...
Ukuaji wa haraka wa Miji na mabadiliko ya mitindo ya maisha kumesababisha mabadiliko katika Mifumo ya Lishe, na kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) watu wengi sasa hawali Mbogamboga na Matunda ya kutosha
Milo hubadilika kwa wakati, ikiathiriwa na mambo mengi ya kijamii na kiuchumi...
Wataalamu wa #Malezi wanatueleza kuwa Lishe bora ina mchango mkubwa katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto kwani hujenga afya na akili ya mtoto.
Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula vya protini kama kuku wa kienyeji na mayai yake, vitamini yaani mboga za majani na matunda, wanga kama...
Kiuhalisia kabisa jamii nyingi za kitanzania kuanzia wananchi wa kawaida mpaka viongozi wa maeneo husika wakiserikali na hata wale wasio wa kiserikali imekuwa ni kawaida sana kutumia muda mwingi na nguvu kubwa sana kupambana na changamoto zilizozoeleka ambazo ndio zinaonekana kwamba ndio viini...
RANCIDITY NI NINI?
Rancidity ni hali ya kuharibika kwa mafuta ya kupikia au mafuta yaliyo katika vyakula mbalimbali kama vile samaki au nyama kutokana na jinsi yanavyotumika, kuhifadhiwa au kupita muda wake wa matumizi (expired). Katika kuharibika hutoa kemikali ambazo ni hatari kwa afya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.