Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet.
Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo.
Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa...