Kesho, Alhamisi Disemba 19, 2024, mashabiki wa soka watashuhudia Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Mashujaa, mechi ambayo itaamuriwa na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Sady Mrope. Mwamuzi huyu, ambaye pia ni miongoni mwa waamuzi waliothibitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5.
Kwanini matangazo ya...
Kariakoo Derby!
Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo?
Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4
ikikusanya alama 12.
Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya...
Nasikiliza redio moja nashangaa sana wachambuzi wa kuheshimika hawajui madhara ya wanayoongea. Eti wachezaji wa kigeni wapungue. Wapungue waende wapi? Bila wa kigeni leo hii ligi yetu isingekuwa na ubora.
Timu zetu zisingekuwa za ubora. Au mnataka uwanjani waende ndugu zenu.
Katafuteni dawa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.