Ipi ni tekinolojia nzuri kwako kulingana na factor hizi
1. perfomance
2. Hosting cost
3. Maintenance
Moderator edit tile inatumia node Jana mongo db...
Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django?
Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend lakini pia nimefanikiwa kutumia serverless backends (Firebase &, Supabase).
Changamoto kubwa ya node...
Flutterwave is a payment technology company that provides payment infrastructure and technology to enable businesses to accept payments from customers all over the world. The company was founded in 2016 by Iyinoluwa Aboyeji and Olugbenga Agboola and is headquartered in San Francisco, California...
Habari wataalam, husika na kichwa cha habari hapo juu.
Uwe unajua android sawa sawa bila kusahau laravel framework. NJOO PM, UWE DAR MAANA NATAKA NIONANE NA WEWE LEO LEO.
Wakuu kwema?
Aisee natafuta mtu anayeifahamu laravel vizuri kabisa hasa ORM.
Kuna kazi nataka tushirikiane naye malipo yapo.
NOTE: KAZI TUTAFANYA WOTE KWA KUSHIRIKIANA KWA UKARIBU ZAIDI PIA HAKIKISHA UNAFAHAMU KWELI LARAVEL NA SIO KUBAHATISHA NATAKA REAL COMPTENT NA SIO MTU WA KUBAHATISHA...
Title haina maelezo sana ila uzi ni wa homework.
Yeyote anayejiamini atatoa homework ili watu wajifunze kupitia homework kufanywa na ukishafanya basi tupia solution yako.
usianze ushamba wa kulinganisha lugha, Wewe fanya homework, tusaishane hapa
Naanza mimi.
Nina form ambayo ninatatka...
Hello wanajamvi,
Natafuta PHP Developer wa kuteam naye muda mrefu. Lazima awe na portfolio inayoeleweka, na awe na angalau muda usiopungua masaa 15 kila wiki. Ni freelance agency.
Ukiwa na vigezo ni PM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.