Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune.
Wewe unayefanya biashara...
Wazazi wa wenzenu walikuwa wanatafutia watoto wao ngawira walikuwa wanapambana huku na huko nyie wazazi wenu walikuwa wanakesha ma club wakijiona wajanja kuliko wazazi wengine, ona sasa nyie mnavyohangaika kutafuta pesa.
Wazazi wenu hawajielewi, juzi hapa tumeuza Magomeni kila mtoto ameingiziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.