Mada Inajieleza.
Mh. Deus Sangu bado ni kijana?
Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
Vipimo vinavyotumika mara nyingi sana kupima HIV/VVU ni aina ya HIV antibody tests, changamoto ya vipimo hivi ni kuwa kinahitaji mtu awe amepata maambukizi angalau miezi mitatu nyuma kabla ya kupima ili kipimo hiki kiweze kumgundua mtu kuwa ana maambukizi ya HIV/VVU.
Ndo maana ukipima katika...
Bado baadhi ya wanaume wanashindwa kupima afya zao wakitegemea majibu kutoka kwa wenza wao.
Hali hii imekuwa ikiwaumiza wanawake wengi hasa wanawake wajawazito bila ya kujua wafanye nini Ili kuwafanya wenzao wao wawe na muamko wa kupima afya zao.
"Nilipomuambia mume wangu inahitajika mimi na...
- Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake
- Husaidia kubaini Magonjwa mapema: Utaratibu wa kwenda kupima Afya yako mara kwa mara unaruhusu Madaktari kubaini viashiria...
Habari wanaJamii Forum
Bas bwana baada ya mida ya kazi huwa napenda kukaa kwa wakala mmoja hivi anasajil lain pamoja na kutoa pesa ss kuna fundi nguo mmoja anashona nguo karb yake, kila nikiwa kwa jamaa yule fund anapenda kukutanisha macho na mm, nikamuuliza yule wakala kuhusu dem akaniambia...
Katika maisha yetu tunasumbuliwa na magonjwa ya aina mbalimbali ambapo inatulazimu kutafuta dawa za namna Fulani iwe za mitishamba au za hospitalini, suala hili wakati mwingine hutokana na kuwa na kipato kidogo au kukosa mda wa kufuatilia afya yako kwa wale wenye uwezo kifedha Jambo ambalo ni...
Hivi majuzi timu ya mpira wa miguu ya Simba baada ya kikao cha kamati ya nidhamu iliadhimia kumpeleka mchezaji Jonas Mkude kupima afya ya akili Mhimbili.
Swali iko wapi haki ya Siri ya afya ya mwajiriwa? Je, endapo Mkude atakataa kwenda hospital Simba watamfanya nini?
Na vipi Mkude akiamua...
Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja.
Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara zake, kaniahidi tutaonana kweli kafika tukaonana ilikuwa jioni sana.
Tukapata msosi tukaelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.