kununua ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    Umewahi kukejeliwa na ndugu jamaa na marafiki baada ya kununua ardhi maporini?

    Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri. Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze. Ni miaka nane...
  2. Aliko Musa

    Jinsi ya Kufanya Uchunguzi (Due Diligence) Kabla ya Kununua Ardhi Isiyopimwa ya Urithi

    Ardhi ya urithi ni ardhi ambayo inamilikiwa na mtu kupitia kurithi kutoka kwa wazazi, ndugu, au jamaa kwa njia ya urithi wa kiasili au kisheria. Hii ina maana kwamba umiliki wa ardhi unapita kutoka kizazi kimoja hadi kingine bila kuhitaji ununuzi wa kibiashara. Mara nyingi, ardhi ya urithi...
  3. RIGHT MARKER

    Ushauri: Anza hata na chumba na sebule. Nyumba kubwa inatesa

    📖MHADHARA WA 16: Baada ya kununua kiwanja...... Ukibahatika tena kupata vihela kidogo ni bora kuanza kujenga CHUMBA + SEBULE + CHOO. Kama hela zako ni za msimu au hela za kulenga kwa manati usijenge nyumba kubwa, kwasababu inaweza kukutesa kwenye harakati za kuimaliza. Wabongo wana msemo wao...
  4. Gemini AI

    Mwekezaji Max Maxwell raia wa Kigeni amenunua Ekari 300 za ardhi nchini Tanzania

    Nimekutana na hii taarifa ya Mfanyabiashara na Mwekezaji Max Maxwell ambaye ni raia wa nchi lakini kilichonishangaza zaidi ni kusema amenunua ardhi nchini Tanzania kwaajili ya kufanya uwekezaji. Max ameandika; "Leo ni ndoto ya kutimia ambayo ilianza mwaka wa 2010 na maono kwenye bodi yangu...
  5. D

    Wageni wanapewa vibali vya kununua ardhi Zanzibar na Tanganyika. Mtanganyika hawezi nunua ardhi Zanzibar. Mbona sielewi?

    Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
  6. Kaka yake shetani

    Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

    Yani mimi na kufanya yote nchi hii ila suala la kununua ardhi ni muoga sana. Ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine. Kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana mirathi wengine walikuwa hawajapata stahiki, ilibidi kuongeza pesa tena ili kukamilisha manunuzi.
  7. UPIMAJI NA RAMANI

    Kwanini kuwekeza kwenye Ardhi usiyo ijua?

    Kwako Mwananchi, Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au kiholela. Mfano ( A) Imezoelekea kununua eneo la Ardhi kwa kushirikisha Serikali ya mtaa...
  8. Mr Fresh

    Jinsi ya kununua ardhi kwenye Metaverse (Decentraland)

    Metaverse ni ulimwengu wa 3D wa kidigitali ambao umetengenezwa kwa mifano ya vitu vyote vilivyopo kwenye dunia tunayoishi kwa sasa. kupitia Metaverse watu wataweza kukutana,kushiriki michezo,kufanya kazi,kujenga miundombinu mipya na kufanya biashara mbalimbali October 2021, Kampuni ya Facebook...
  9. M

    Tanzania unaweza kufika kutoka nchi yoyote ukanunua ardhi, ukajenga, ukawekeza na wasikufanye lolote

    Nchi inafunguliwa Hivi mnafahamu unaweza kutoka Kenya, Rwanda, India, Afghanstan yaani siku unaingia Tanzania ukafika, ukatafuta dalali, ukanunua kiwanja, ukajenga kama ni nyumba ya kuishi, ya kupangisha au hata hotel na usiulizwe na yoyote tena usifuate utaratibu wowote ule tena ukioa...
Back
Top Bottom