kiongozi wa neto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. deNavigator

    Gerson Msigwa: Serikali haiwezi kuajiri kila mhitimu wa Chuo

    Leo gerson msigwa akiongea na waandishi wa habari anasema serikali haiwezi kuajiri walimu wote kama ambavyo haiwezi kuajiri waandishi wa habari na fani zingine. Na akaongeza kwakusema kua serikali hua inaajiri walim kwa awamu kila mwaka. Hapa ni siasa katika elimu kwakweli . Ivi kweli : 1...
  2. chiembe

    Walimu Wasio Na Ajira (NETO)mkipewa mkopo nafuu na serikali mfungue mradi wa shule mtakubali?

    Najiuliza kama hawa wakipewa mkopo au kudhaminiwa Benki wapate mkopo wafungue shule binafsi, na mkopo uwe na suspended interest. Wanajiunga vikundi vikundi tu, wa kufungua nursery haya, primary hayaaa, secondary hayaaa. Japo usimamizi wa serikali uwepo ili fedha isipotee. Ila biashara za...
  3. Carlos The Jackal

    Hivi Weledi wa Jeshi Polisi Tanzania uko wapi? Umoja wa Waalimu wasokua na Ajira, sio Kikundi Cha Uhalifu Wala wavunja Amani

    Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi . Khaaa?? This is a shame !!. Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi. Yaan...
  4. Mindyou

    Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili

    Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Joseph Paulo Kaheza, amepewa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita baada ya kushikiliwa kwa upelelezi kuhusu ushiriki wake katika jumuiya hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na NETO tarehe 25 Februari 2025, Kaheza alikamatwa...
  5. M

    Umoja wa walimu wasio na ajira NETO unaweza kuleta mbadiliko ya kweli Tanzania, tunabidi kuwaunga mkono

    Nimefatilia hawa jamaa wanajiita NETO nimejifunza mambo yafuatayo. These guys are very smart and visionary. Kuna hoja tatu nimeziona. - Kuondoa swala la walimu kujitolea. - Suala la kuhakikisha Serikali inazingatia vipimo sahihi Vya usaili. - Kusitisha utolewaji wa course ya Education...
  6. M

    Mwenyekiti wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) Joseph Paulo anadaiwa kukamatwa na polisi mkoani Geita

    Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na kutaka kumwekea dhamana kitu ambacho kilishindikana. Soma Pia: Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO)...
  7. Waufukweni

    Walimu wasio na Ajira (NETO) waishauri Serikali isitishe uzalishaji wa Walimu Vyuoni

    Daniel Edigar Mkinga, Katibu NETO "Viongozi wetu wa Serikali, kutokana na uhalisia wa wahitimu na changamoto zinazoonekana katika zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, tunapendekeza yafuatayo yafanyiwe kazi. "Pendekezo la kwanza, kusitisha usaili mara moja kwa kada ya ualimu na kutumia utaratibu...
Back
Top Bottom