Wabunge ambao walikuwa nauwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. je Ni kwanini.?
Naanza na Mh Charles Kimei mbunge wa jimbo la Vunjo.
Huyu watu wengine tulijua anaweza kuwa waziri wa Fedha au Biashara na viwanda lakini Marais wote hawajamchagua kuwa waziri. Je ni kwanini?
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kuweka rekodi katika Jimbo la Vunjo ya kufanikisha kuanza kwa ujenzi wa daraja linalounganisha vitongoji vya Msufini na Kisimani kata ya Makuyuni hali itakayowarahisisha mawasiliano ya wananchi toka upande mmoja kwenda mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.