Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina.
**Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike...