khalid aucho

Khalid Aucho (born 8 August 1993) is a Ugandan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Tanzanian Premier League club Young Africans and the Uganda national team.
Aucho has played football in various clubs, such as Jinja Municipal Council F.C. from 2009 to 2010, Water F.C from Uganda from 2010 to 2012, Simba FC from Uganda, Tusker from Kenya, Gor Mahia from Kenya, and Baroka from the South African Premier Soccer League. He was on the Uganda team that qualified for the Africa Cup of Nations for the first time in 38 years.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Aucho, Mzize na Boka warejea kikosini kwa mchezo wa pili dhidi ya MC Alger Ligi ya Mabingwa Afrika

    Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho, Clement Mzize na Boka wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 25 kitakacho safiri leo Alasiri kuelekea nchini Algeria kwaajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger utakaopigwa Disemba 7 2024. Wachezaji...
  2. UMUGHAKA

    Al Hilal anapoenda kutukung'uta mechi ijayo, naomba mtakapomtimua Gamondi timueni na wachezaji wafuatao

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane ! Tarehe 26 ni siku ambayo timu yangu ya Yanga unakwenda Kucheza mechi ya kwanza ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Hilal Omdurman,siku hii naelewa kabisa Yanga atafungwa si chini ya Goli 3 na ndiyo siku ambayo kocha Gamondi anaenda kutimuliwa...
  3. magnifico

    Feisal Apewe tuzo Ya Fair Play Kwa Kitendo Alichofanya Jana kwenye mchezo kati ya Yanga VS Azam

    Jana kwa walioangalia mpira kuna muda Khalid Aucho alifanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na mchezaji wa Azam sijui nani yule. Kipindi hicho tayari ana kadi ya njano na alitaka kuinuka kwa gadhabu sana ili akamvae yule jamaa lakini Feisal akamuwahi kumzuia. Mind you kama Feisal angemuacha ina...
  4. kipara kipya

    Marefa wanawalea sana Khalid Aucho na Mudathiri yahya mechi ya leo haki itendeke!

    Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka, Naiona tabia hiyo ikizidi...
  5. Nifah

    Tetesi: Simba yacharuka, yazitaka saini za Pacome, Aucho Msimbazi!

    Klabu kongwe nchini, Simba Sports Club imeingia vitani na watani zao Yanga Afrika kwenye kinyang'anyiro cha kuzisaka saini za mastaa wa klabu hiyo yenye makao makuu yake Jangwani jijini Dar Es Salaam Pacome Zouzoua na Khalid Aucho. Mastaa hao tegemezi katika kikosi cha kwanza cha Yanga...
  6. Mkalukungone mwamba

    Aucho: Nitacheza Yanga SC hadi Rais Hersi atakaposema sipo tena kwenye mpango wa timu

    Kiungo wa Yanga Khalid Aucho akifanya mahojiano na Muandishi wa habari kutoka Uganda hapo jana alipoulizwa kuhusu kuondoka Yanga alijibu kuwa bado yupo Yanga mpaka Siku Injinia na Gsm waseme Aucho sasa basi . "Nashukuru kwa mapenzi ya wananchi na mimi nafurahi sana kucheza Yanga, mimi nipo Yanga...
Back
Top Bottom