Hii kazi ina mshahara mdogo sana. Ni pesa ambayo bodaboda wanapata kwa wiki mbili au tatu. Acha tu, mungu wasaidie walimu wanaishi maisha ya ajabu sana, Kila mwaka madarasa yanajengwa ila huwez kukuta nyumba za walimu zinajengwa
Madarasa ya vioo na tiles Ila nyumba za walimu mbovu sakafu...
Maneno ya huyu mhasibu yamenikera sana.
Bora kuuza Kangala na kufanya biashara.
" Mimi sio kama walimu, mshahara ukitoka siku mbili tu hawana kitu" Mhasibu wa halmshauri yetu.
Mbaya zaidi anakula na demu wako.
Nina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili.
Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed"
Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada.
Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
Urgent call: Wanahitajika walimu wawili mmoja wa somo la KEMIA NA BAIOLOJIA na mwingine HISTORIA NA JOGRAFIA.
NGAZI YA ELIMU: Awe na shahada ya Ualimu.
VIGEZO: Mwalimu mahili na mbobevu kwenye SoMo lake na mwenye uzoefu WA kutosha kufundisha KIDATO CHA KWANZA HADI CHA SITA.
MAHALI: MBEYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.