Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X
"Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha...
Katika taifa linalojivunia kuwa la kidemokrasia, uhuru wa kujieleza na usawa mbele ya sheria ni nguzo kuu zinazopaswa kulindwa kwa nguvu zote.
Hata hivyo, hali halisi ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeanza kufifisha matumaini ya Watanzania wengi waliotamani kuona enzi...
Wewe Si wa kusema Eneo la Mkutano wa CDM Lina wafanyabiashara, mara Kuna Wanachama hawakiungi mkono CDM, mara wapo wanao support na blaa blaa blaa za Hovyo hovyo !!.
Hayo hukuyajua wakati CCM wanafanya mikutano yao Kariakoo?? Mlishawahi wazuia CCM wasifanye mikutano hapo??.
Au CCM ikiwa na...
Utaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo...
Ndugu Watanzania!
Tuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. John Heche alipokwenda kuhutubia Kariakoo. Tumezungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Bara) Mhe Amani Golugwa alisema kuwa wamefika vituo vyote vya Polisi katika Jiji waliambiwa hayupo...
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.