Mimi sijui ama mawazo yangu yako sawa au mimi ndo mshamba!
Ni kwanini Mheshmiwa Raisi asiwe anachagua mawaziri kusimamima sekta ambazo wana experience nazo?
Mfano waziri wa ulinzi anaweza kua askari mstaafu aliyetumikia jeshi miaka mingi huyu anaweza kua na experience na akajua hata ufujaji na...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuhakikisha huduma za kibingwa za matibabu ya magonjwa mbalimbali zinawafikia wananchi wa hali ya chini bila ya kuwa na vikwazo vyovyote.
Waziri ametoa kauli hiyo jana Agosti 15, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
Kila nikikuangalia ulivyo, nilivyokuzoea, taaluma yako na mienendo yako ( hasa katika Utendaji wako Serikakini ) sioni kabisa Competency yako katika hiyo Docket uliyoko sasa na najua hata uombe Mizimu ya Kwenu kwa Watani zangu Washamba wa Mkoa wa Ruvuma au ubebwe vipi na Namba Tatu Kitaifa bado...
Waziri Mhagama Aipongeza Sukos Kova Foundation kwa Kuandaa Mafunzo ya Uokoaji
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amepongeza taasisi ya Sukos Kova Foundation na taasisi ya Peaceland Foundation kwa pamoja kwa kushirikiana...
Watanzania wenzangu na viongozi wa Nchi hii, hebu tufanye tafakari ya kina juu ya sheria ya mifuko ya jamii na kauli za viongozi Wetu juu ya ajira nchini.
Nitoe nadharia ili kila mmoja Wetu asome atumie kama base ya tafakuri.
''Mwezi uliopita kuna taasisi moja hapa nchini ilipunguza...
Waziri Jenister Mhagama wa awamu ya tano alikuwa ana amini watumishi wa umma hawapaswi kuongezewa mishahara Wala kupandishwa madaraja kwa kuwa nchi ilikuwa inachengwa kwanza nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilikuwa Kwenye miundo mbinu kama barabara, eli nk
Ni waziri ambaye...
Mhe Jenister Mhagama, Mhe Simba Chawene Waziri wa mambo ya ndani, IGP Simon Sirro tusaidieni tulipwe mafao yetu na PSSSF, Tumestaafu Mwaka jana mwezi wa 12 Hadi sasa Hatuja pata mafao yetu wala Pesheni hatulipwi. Jana tarehe 1/11/2021 saa 1 usiku tumeenda kukagua akaunti zetu ATM tukiwa wastaafu...
Vifo vya UKIMWI vyapungua Tanzania.
Matumizi ya dawa za kufubaza VVU yameongezeka kutoka 95% mwaka 2016 hadi 98%, 2019, vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000, 2020 na maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yameshuka kutoka 18% mwaka 2010 hadi 7% mwaka 2020 -...
Tuna kukumbusha Mhe. Waziri Jenister Mhagama siku ya sabasaba ukiwa na mkurugenzi mtendaji wa PSSSF kwenye banda lao, mlisema kwa sasa mnafanyia kazi marekebisho ya malipo na maelekezo ya Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwalipa wastaafu.
Walio staafu kuanzia mwezi 3 hadi sasa hawajalipwa, je ni...
Mhe. Waziri,
Watumishi wako wana miezi 3 hawajalipwa nauli za kwenda majumbani kwao baada ya kustaafu.
Watumishi wako wana miezi 4 toka wastaafu hawajalipwa Pensheni na mliahidi na Jenister Mhagama kuwa mtarahisisha malipo ya pensheni kuchukua muda mchache sana, pamoja na kujaza fomu zote na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.