JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.
JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.
JamiiForums kwa kushirikiana na Kituo cha Runinga cha StarTV, itaendesha Mjadala kuhusu Nafasi ya Vyombo vya Habari na Waandishi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024
Mjadala huo utakaoongozwa na Mtangazaji Edwin Odema 'Chief Odemba', utahusisha...
Jukwa la Jamiiforums linaweza kuboreshwa kwa kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) kuharakisha usimamizi wa maudhui na kuleta uzoefu mpya kwa mtumiaji. Hapa kuna baadhi ya njia za kuingiza AI katika jukwaa la Jamiiforums:
1. Usimamizi Wa Maudhui na Uchambuzi wa Hisia za Wachangiaji...
Position: Consultant for Technical Development of an E-learning Course
Location: Tanzania (Dar es Salaam)
Duration: 1st December 2024 – 28th February 2025
Application Deadline: 18th November 2024
Required Languages: English and Kiswahili
Position: Consultant for Technical Development of an...
Position: Consultant for Content Development of an E-learning Course
Location: Tanzania (Dar es Salaam)
Duration: 1st December 2024 – 28th February 2025
Application Deadline: 18th November 2024
Required Languages: English and Kiswahili
JamiiForums, through the “Mwananchi Makini” project...
Habari Wakuu,
Leo Novemba 8, 2024 ikiwa ni siku ya pili ya Media Week Uganda, JamiiForums imeandaa mjadala kuhusu Ushiriki wa Wananchi katika kuleta Mabadiliko ya Kijamii.
Ungana nasi hapa tukiletea matuko yote kama yatavyojiri:
Mwakilishi wa Jamii Forums Ziada Seukindo aliulizwa kuhusu...
Uganda: Shirika liitwalo 'Media Focus on Africa Uganda' kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali ikiwemo JamiiForums limeandaa Tamasha la Uganda Media Week 2024 ili kuangazia mambo mbalimbali kuhusu hali ya Vyombo vya Habari na Habari kwa ujumla nchini humo.
Wadau mbalimbali wa Habari toka Nchini...
Wakuu !
JamiiForums kwa upande wangu hasa mwaka huu 2024 imekuwa ni msaada mkubwa sana katika mambo yangu mbalimbali.
Ninaelekea kutimiza miaka 14 ndani ya huu mtandao na ninaweza kusema mwaka huu wa 2024 nimekuwa ni mtumiaji sana wa huu mtandao kupata habari na connections mbalimbali ili...
Ukiona umecomment mara Moja harafu ukaona umeletewa maneno ya English harafu juu upande wako wa kulia Kuna x au mkasi 😁
We bonyeza pale kwenye mkasi hiyo comment itakuwa imeshajiplace usirudie mara mbili
DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024.
Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
Oktoba 26, 2024 baadhi wa Watendaji wa JamiiForums walifanya Mjadala na Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Feza na kujadili mbinu za kulea watoto katika nyakati Dunia ya Utandawazi na Digitali.
Timu ya JF ikiongozw ana Mkurugenzi Mtendaji, Maxence Melo ilifanya majadiliano ya...
DEADLINE EXTENDED
Position: Consultant needed for Citizenship and Leadership Academy Content Development
JamiiForums, in partnership with WiLDAF via the USAID's Wanawake Sasa Project, is seeking a Content Development Consultant to create engaging, inclusive training modules and promotional...
Na leo narudia tena kusema hicho hicho kuwa Simba SC iwaombe TFF iwape Yanga SC alama (points) zao Sita (6) kwani kamwe kwa aina ya Viongozi Wanafiki na Virusi Watano walioko Klabuni akiwemo Msemaji Ahmed Ali Simba SC haitoifunga kamwe Yanga SC.
Kwa kujiamini kabisa leo narudia tena kusema...
Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake utakuwaje akirejea akapata Uthubutu wa kunipa Mimi GENTAMYCINE Zawadi ya Shilingi 50 za Kitanzania na...
Watanzania wenzangu, sina huzuni kwa sababu sipo Kati ya washindi wa stories of change, Ila huzuni hii niliyonayo imeniumiza mno. Jana kulikua na msafara wa waziri huku kigoma, msafara ule najua ni kwa bahati mbaya wakamgonga mjomba angu na akafariki palepale, Cha ajabu Wala hawakusimama...
Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location.
Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya redio pamoja na radiocalls kuwasiliana lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua...
Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe (nimesahau namaanisha) wapo nami GENTAMYCINE.
1. Chai (uongo) asili yake ni nini ?
2. Kwanini mliwaza chai pale mtu anaposema uongo ?
3. Kwani chai na uongo vina uhusiano gani ?
NB: Nasikia ubongo wa binadamu unaogelea kwenye fluid fulani sijui inaitwaje na haujawa attached kwenye kitu chochote.
Ahsante.
Mwenye Kamusi mpya kabisa ya maneno mapya ya Kiswahili Fasaha ya TUKI aende katika Ukurasa wa 126 akamjue huyo Nyoka HATARI kabisa aitwa Fira.
Nyoka Fira hatari acheni masihara.....!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.