Innocent Lugha Bashungwa (born May 5, 1979) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Karagwe in 2015.
Wakuu,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innnocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo kutunukiwa vyeti vinavyotambuliwa na VETA wakati wanapomaliza vifungo vyao ili...
Wakuu,
Kuonesha kwamba yeye ni kiongozi humble na ambaye ana maisha sawa na wananchi, Bashungwa ametinga mtaani na kwenda kula kwenye mgahawa mmoja maarufu
Nimpongeze Bashungwa kwa kwenda kula na wananchi wa hali ya chini, maana watanzania wote tunajua hapo ndio sehemu yake anayoenda kula kila...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuliimarisha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kulipatia vitendea kazi ambapo sasa inatekeleza mradi wa ununuzi vifaa mbalimbali vya kuzima moto na uokoaji pamoja na magari 150 ya kuzima moto na uokoaji...
Wakuu nimejaribu kutafakari kidogo kwa haraka, pamoja na uwepo wa Mheshimiwa Doto Biteko kama msaidizi wa waziri mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa.
Naona bado kuna namna Mheshimiwa Bashungwa anaandaliwa kwa nafasi ya uwaziri mkuu. Nikiangalia ni kama anapitishwa hizi wizara mbalimbali ili...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuboresha ushirikiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kuondoa urasimu wa kuwazungusha Wananchi wakati wanapokuwa katika mchakato wa kutafuta Kitambulisho cha Taifa.
Bashungwa ameelekeza hayo leo...
Wakuu,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza jeshi hilo kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa weledi katika mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma pamoja na wa Chadema uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Bashungwa amesema hayo leo Januari 22, 2025 wakati alipofanya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Wahariri na Waandishi wa Habari kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Vyombo vya Usalama katika utekelezaji wa mikakati ya mawasiliano na programu kumi zilizopangwa kutekelezwa katika kipindi cha miaka miwili...
Wakuu,
Hadi nimecheka :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: oyaa napita hapo dk 0 kwenye gari aina fulani, fanya kunipiga mkono:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:.
=====
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa akizungumza na askari wa usalama barabara katika eneo la Magugu wilayani...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani.
Hii na hatua hiyo ya kupata uteuzi mpya imemfanya kujiwekea rekodi yake binafsi na kuwa kati ya mawaziri...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amepiga...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wajasiriamali kwa kujenga miundombinu ikiwemo Masoko ili kurahisisha...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Maafisa wa Wizara hizo Septemba 07, 2024 wamewasili jiji la Seoul nchini Korea Kusini na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Mhe. Togolani Mavura kwa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na mujibu wa mikataba na kuanza kuwazungusha waliowapa kazi ambapo kitendo hicho kinaharibu taswira ya Makampuni ya...
Kipanda cha Tanga Kibaoni, hakipitiki. Ni tope tupu na barabara ya pembeni hiyo ndiyo kadhia kubwa hasa.
Irudishe kama ilivyokuwa zamani iweze kupitika ! achana na lami maana mmeshindwa!
Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi?
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali tayari imeelekeza kiasi cha Shilingi Bilioni 840 (Dola za Marekani Milioni 325) katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja na makalvati yaliyoharibiwa na mvua kubwa za El-Nino na Kimbunga Hidaya ambapo maandalizi ya utekelezaji...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kutoa fursa kwa Wahandisi Wanawake kushiriki kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja nchini.
Ameeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kutoa fursa kwa Wahandisi Wanawake kushiriki kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja nchini.
Ameeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Charles Msonde kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kufanya mabadiliko na kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazokabili Taasisi hizo ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.