imani za kishirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chizcom

    Aweso: Mhandisi wa Maji anasema Wananchi wa Kijiji Hiki Ni wachawi, Mabomba yapaa kama Ndege Usiku

    Tumekwenda Shinyanga vijijini Muheshimiwa Rais tumefika pale usiku Mhandisi wa Maji anahangaika akutane na wewe kiongozi namwambia hapana muda usiku umekwenda tutakutana Site" "Tunafika eneo linaitwa mwakitolia unakuta zaidi ya bilioni 1.3 hela imetolewa lakini wananchi hawapati maji...
  2. C

    Napendekeza,timu inyang'anywe pointi 3 kila ikifanya mambo ya kushirikina na yakajulikana

    Natamani mchezo wa soka uwe wa vipaji,uwezo na jitihada za mchezaji kama ilivyo kwa nchi za ulaya. Kuwe na adhabu kali kwa timu itakayodhihirika wazi kuwa inatumia ndumba ama imani za kishirikina kama vile; 1. Kuchimbia vitu vya hovyo uwanjani 2 . Kumwaga unga au maji kwa njia inayoonekana...
  3. kipara kipya

    Upuuzi, ushamba, kuamini watu wasio na elimu, utoto na imani za kishirikina zimeigharimu Yanga

    Yanga ni washamba kundi kubwa halina elimu (makomandoo, wanachama na mashabiki wao. Ushirikina Mzee mpili, Magoma na wazee wote Yanga) Ushhamba (Ali Kamwe, Manara, Hersi na Privaldinho), utoto na upuuzi mwingi Arafat, Hersi na wengine wengine wanaosapoti ujinga) Leo kwa aibu wanang'ang'ania...
  4. technically

    Imani za kishirikina kwenye timu ya Taifa

    Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ? Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024 Aisee inasikitisha Sana
  5. Z

    Imani za kishirikina kwa wachimbaji madini ni hatarishi kwa usalama wa jamii

    Mimi ni mchimbaji wa madini.namshukuru Mungu kuwa nimeokoka na ni mwanasayansi. Wachimbaji wadogo ambao wanajiita wanachama au mafadhagora na wengine wanashift hawaamini kuwa wanaweza kupata madini bila kutoa kafara ya mnyama au hata ya mtu kabisa.Hii ni shida kubwa Ndiyo maana utasikia mtoto...
  6. D

    Kumbe watu bado wana imani za kwenda kwa waganga

    Bila shaka mko poa. Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada. Jana jioni wakati natoka kwenye kutafuta riziki ninaishi Mburahati karibu na hopitali ya Mianzini. kwa wenyeji kidogo maeneo hayo watanielewa. Kuna makaburi ya wakisto mbele ya hospitali upande wa pili kuna makaburi ya...
  7. nipo online

    Imani za kishirikina haziwezi fua dafu ukiwa unatoa fungu la kumi, Je hivi ni kwanini?

    Nimesikia kua ukiwa na biashara fulani ukatolea zaka mtaji wako na baada ya hapo ukawa mwaminifu kulipa fungu la kumi katika faida unazovuna.. hapa UTAKUA UMEMALIZA MZIZI WA FITINA WA CHUMA ULETE. hivi hii inabe applied kwa vipi wabobezi wa imani naomba ufafanuzi.
  8. matunduizi

    Nini chanzo cha ongezeko la tuhuma za ndugu kurogana na kukwamishana?

    Uchawi upo. Jambo la ajabu kwa sasa nimepata kesi zaidi ya tano ndugu kurogana. Yaani kuna moja mama hataki kuona vijana wa kike na wa kiume wa wanatoboa. Ndugu wanafichana mambo na kila mmoja anamuangalia mwenzake kama kihatarishi. Dada mmoja ameniambia Alfajiri anaona anakabwa na Mama yake...
  9. M

    Kama wewe si mshirikina na huendekezi imani hizo, jipongeze sana!

    Narudia hii: 1. Kama hujawahi kwenda kwa mganga 2. Kama hujachanjwa Chale 3. Kama Sio mchawi 4. Kama huendekezi imani za giza 5. Kama utotoni wazazi hawajakufunga hirizi shingoni au mkononi. 6. Kama kwenu hajaletwa mganga kuagua KAMA ULIEPUKANA NA MAISHA HAYA.BASI JIPONGEZE SANA. Kwa sababu...
  10. britanicca

    Kwanini Kila anayefanikiwa lazima aitwe Mwizi, atoa Kafara, Free mason, Tapeli

    Mi mtu Mzima Kidogo ambaye nimeishi miongo kadhaa na kushuhudia uongozi wa awamu zote na nimekaa vijijini na mijini Kwanini Kila mtaa au kijiji au mji mtu akionekana kupata maendeleo watu ukimbilia 1. Mwizi 2. Katoa Kafara 3. Free mason 4. Tapeli Kwanini uwa wengi hawasujudu nguvu za kazi...
  11. wakunyonya

    Haya matukio yalinifanya niamini uchawi upo

    Huwa nashangaa sana mtu kusema Hamna uchawi ila kusema kweli uchawi upo tena bila chenga. Haya ni baadhi ya matukio ambayo yaliweza kuniaminisha kuwa uchawi upo. TUKIO LA 1# Miaka ya 2000s wakati huo nipo mkoa wa Iringa, kulikuwa na Mzee mmoja yeye shughuli yake ilikuwa ni kuchukua...
  12. Mboju

    Mnaoamini kuwa uchawi upo mnatumia vigezo gani?

    Katika miaka niliyo nayo mpaka sasa sijawahi kukubali kuwa eti kuna uchawi sijui mtu anaweza kuloga sijiui mambo yako yasiende. Kama kweli uchawi upo kwanini hao wachawi wasiende benki wakaloga wakachukua pesa. Kama kuna mtu humu ndani alishawahi kulogwa njoo utupe mrejesho ilikuwaje. Pia...
  13. Suley2019

    Ukatili: Mtoto auawa na kukatwa sehemu za siri

    Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya siri. PIA SOMA - Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
  14. gstar

    Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina

    Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
  15. Nyendo

    Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo

    Mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath aliyekuwa na miaka miwili na miezi sita, mkazi wa Kitongoji cha Mbale Kijiji cha Bulamula kata ya Kamachumu wilaya ya Muleba mkoani Kagera amekutwa amefariki na mwili wake umefungwa kwenye mfuko (Sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo. Akizungumzia...
  16. The Philadelphia finest

    Uchawi unaweza kuonekana kupitia CCTV?

    Inasemekana tukio hili la UCHAWI limenaswa huko Zanzibar kupitia CCTV. Kumbe Teknolojia inaweza tumika kubaini uchawi
  17. Tlaatlaah

    Je, hii inaweza kuwa ni kwa sababu za kisiasa, imani za kishirikina au ustaarabu?

    Tukiwa kwenye kampeni, walikuwepo wagombeaji wa kike na kiume. Katika baadhi ya maeneo huko vijijini, sehemu za kulala zilikua chache ukilinganisha na wingi wa wagombeaji na waongoza msafara. IIilazimu mahali fulani wagombea zaidi ya moja kulazimika kulala chumba kimoja. Na hii haikua tabu kwa...
  18. MKATA KIU

    Ujinga, maradhi, umaskini, imani za kishirikina na imani za kuamini dini za wakoloni ndio maadui wa Tanzania

    Hawa ndio maadui wa Taifa letu: 1. Ujinga 2. Maradhi 3. Umaskini 4. Imani za kishirikina yaani ( kuamini uchawi , waganga wa kienyeji na Maustaz wasoma Nyota na kutoa majini ) 5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu. Hawa watano ndio maadui wa kweli wa...
  19. Roving Journalist

    Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

    Baada ya kuripotiwa Shule ya Msingi ya Mlembea inayomilikiwa na Serikali katika Tarafa ya Mashati, Halmashauri ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kuandikisha Wanafunzi watatu pekee kwa ajili ya Mwaka wa Masomo 2024, uffanuzi umetolewa. Awali imeelezwa kuwa baadhi ya sababu za na uhaba wa Wanafunzi ni...
  20. passion_amo1

    Watanzania msipoteze pesa kwa kuendelea kuamini imani za kishirikina. Ni upumbavu na umaskini wa kujitakia

    Habari za uzima wakuu? Kabla ya mwaka kuisha mwaka jana mwezi wa 11 rafiki yangu mmoja alinifata akaniambia passion ndugu yangu biashara kwa upande wangu sasa imekuwa haiendi kabisa, nimepokea ushauri kutoka kwa ndugu yangu mmoja kaniambia anipeleke kwa mtaalamu nikajisafishe. Nikamuuliza wewe...
Back
Top Bottom