hospitali ya mloganzila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Julius adakwa akijifanya Afisa Muuguzi Mloganzila, atuhumiwa kwa wizi wa mali za wagonjwa na kukiri kuiba Simu Tatu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imemkamata Bw. Steven K. Julius kwa tuhuma za wizi wa mali za wa wagonjwa ikiwemo simu za wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa kujifanya ni mwajiriwa wa Muhimbili Mloganzila kwa cheo cha Afisa Muuguzi. Baada ya mahojiano Bw. Julius amekiri kuiba simu...
  2. Msanii

    DOKEZO Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake ni janga kwa wagonjwa na ndugu wanaouguza pale

    Mnamo tarehe 18 Novemba 2024 nilienda hospitali ya rufaa ya Mloganzila kumtazama shemeji yangu aliyelazwa pale na kichanga wake aliyejifungua kwa oparesheni. Nilipofika getini nilielekezwa na walinzi sehemu ya kusubiria muda wa kuingia kuona wagonjwa. Nikiwa eneo hilo nilipata kusikia mawili...
  3. Fazz

    Kwa wenye wagonjwa hospitali ya Mloganzila

    Moja kwa moja kwenye mada Ndugu zangu watanzania wenzangu kuna watu wana wagonjwa hospitali ya mloganzila lakini baada ya kufika pale mtu au watu waliokuja na mgonjwa wanakosa sehem ya kukaa au kuishi kipindi wapo na mgonjwa kutokana na jografia ya hospitali ni mbali na guest au hoteli hivyo...
  4. Copro mtego

    Waliowahi kutibiwa Mloganzila Vs wanaoisikia Mloganzila

    Wiki iliyopita ulikuwepo mjadala wa utoaji huduma za afya katika hospitali ya Mloganzila. Kwa kupitia uzi ule niligundua watu waliwahi kupata huduma wote walionesha kulizishwa na kuipenda huduma ya pale (isipokuwa mtu mmoja aliyedai mwanae hakuhudumiwa vizr na akakosa maelezo ya kueleweka)...
  5. Copro mtego

    Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

    Hii hospitali imetengenezwa kisasa kuanzia miundombinu, mpangilio na kila setting. Vifaa vya kutosha na wahudumu wanaonekana kuwa na ari nzuri tofauti na tulivyosikia hapo nyuma. Tukiachana na figisu za kisiasa hii hospitali ndo standard ya utoaji wa huduma za afya Tanzania
  6. JanguKamaJangu

    Apungua Kilo 58 baada ya kuwekewa puto Hospitali ya Mloganzila

    Mkazi wa Ngara mkoani Kagera, Charles Mwakameta amepungua Kilo 58 baada ya kuwekewa puto maalum (intragastric ballon) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila na kukaa na puto hilo kwa takribani mwaka mmoja. Mwakameta amepunguza uzito kutoka Kilo 151 alizokuwanazo kabla ya Februari 20...
  7. Roving Journalist

    Baada ya kuwekewa puto Hospitali ya Mloganzila nimepungua kutoka kilo 150 hadi 99 hivi

    Vicent Fortunatus amesema huduma aliyowekewa ya puto maalumu (intragastric balloon) pamoja na kupunguza zaidi ya kilo 50 imekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo kuondokana na changamoto ya maumivu ya mgongo, mwili kuwa mwepesi na kuwa rahisi kwake kutekeleza majukumu ambayo awali ilikuwa ngumu...
  8. JanguKamaJangu

    Wagonjwa Wanne waliopandikizwa Figo Hospitali ya Mloganzila waruhusiwa

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa mara nyingine kwa mafaniko makubwa kwa kushirikiana na Korea International Foundational for Health Care na Africa Future Foundation imefanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne ambao figo zao zimeshindwa kufanya kazi. Upandikizaji huo ni wa...
  9. ChoiceVariable

    Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  10. A

    DOKEZO Mashine ya CT-SCAN katika Hospitali ya Mloganzila ni Mbovu

    Habarini, naleta taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana... Mashine ya CT SCAN katika hospitali ya Mloganzila ni mbovu takribani mwezi mmoja na nusu na hali ni mbaya, wagonjwa wengine inawapasa wapange foleni katika kupata huduma hii. Ni aibu kwa Hospitali yenye hadhi ya TAIFA kama...
  11. Roving Journalist

    Upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua wafanyika Hospitali ya Mloganzila

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua (Endoscopic transphenoidal pituitary) bila kupasua fuvu la kichwa ambapo tangu kuanza kwa huduma hii takribani watu watano wamenufaika na matibabu hayo. Upusuaji huo umefanywa na...
  12. Roving Journalist

    Watu 128 wanufaika na Huduma ya Kupunguza uzito uliopitiliza kwa kutumia Puto Maalum katika Hospitali ya Mloganzila

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum (intragastic balloon), ambapo huduma hiyo pamoja na kupunguza uzito imekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo kuwawezesha wateja hao kutekeleza majukumu yao...
  13. JanguKamaJangu

    Mashabiki, wanachama wa Yanga wajitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Mloganzila

    Rais wa Klabu ya Soka ya Yanga Mhandisi Hersi Said amesema klabu hiyo katika kuelekea wiki ya wiki ya mwananchi imeamua kuwahamasisha mashabiki na wanachama wake kujitokeza kuchangia damu katika vituo vilivyoanishwa nchi nzima ikiwa ni sehemu ya mchango wa klabu hiyo kwa jamii. Mhandisi Hersi...
  14. JanguKamaJangu

    Asilimia 13 ya Watanzania hupoteza maisha kwa mwaka kutokana na maradhi ya moyo

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Muhimbili Mloganzila Fabian Kamana akimfanyia uchunguzi mgonjwa kwa kutumia mashine ya ECHO . Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila Dkt. Fabian Kamana ametoa rai kwa jamii kupunguza matumizi ya mafuta, chumvi...
  15. JanguKamaJangu

    Wachezaji wa Simba wafanyiwa vipimo vya Afya katika Hospitali ya Mloganzila

    Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wamefika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao na kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mpya ya mashindano ya ligi 2023/2024. Daktari wa Timu ya Simba Dkt. Edwin Kagabo...
  16. tutafikatu

    Mama Samia yule mteule wako wa NIMR ilimshinda Hospitali ya Mloganzila

    Mtafiti yupo kule NIMR Center. Anakesha kuandika tafiti mbalimbali ili apate ufadhili, pasipo msaada wowote toka NIMR HQ. Kwa jasho na damu anapata ufadhili na kupeleka pesa kituoni kwake ambazo zinasaidia hata kuendesha kituo. Halafu from nowhere anakuja mteule mmoja wa Rais anataka hizo pesa...
  17. BARD AI

    Ripoti ya CAG 2021/22: Huduma za Hospitali ya Mloganzila haziridhishi

    Tathmini iliyofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) umeonesha Hospitali hiyo ina Utendaji Duni uliosababisha kuzorota kwa huduma za Afya, hivyo kushusha mapato. CAG alibaini gharama matumizi zinazidi mapato kwa 7% hadi 19 kuanzia mwaka 2018/19 na 2021/22 kiasi cha...
  18. Satoh Hirosh

    Ukweli ni upi kuhusu Hospitali ya Mloganzila?

    Salaam, Kumekuwa na tetesi huwa naisikia miaka kadhaa sasa kuhusu hii hospitali ya Mloganzila. Hadi naandika huu uzi ni kwa sababu kuna ndugu wa rafiki yangu wa karibu ambae ni mgonjwa na ameambiwa aende Mloganzila kupata matibabu. Iko hivi; Nilikuwa Nimekaa nae tunapiga stori za kupoteza siku...
Back
Top Bottom