Wakati watu wanasema tuogope teknolojia, mimi nasema tuogpe "power of nature. Katika vitu ambavyo hufanya kazi beyond human understanding, basi ni hii power of nature.
Nimeyasema haya baada ya kuisikiliza tena clip ya Mwendazake na ku-refer haya yanayotokea leo hii. Ni vile tu hakutaja jina la...
Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.
Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.
Nini madhara yake?
Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji...
Ukiniuliza kwa nini muziki wa Reggae hauna vibe siku hizi jibu ni moja tu, dunia ya sasa hivi hakuna ukoloni wala ubahuzi wa rangi.
Aina hiyo ya muziki ilikuwa kwa ajili ya ukombozi, sasa kama hakuna ubaguzi wala ukoloni unamuimbia nani.
Hawa niliowataja ingekuwakipindi cha kudai uhuru...
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya Blancons
lkn Trump kashambuliwa hajailaumu Serikali wala hajamlaumu Biden. Hili ni fundisho kwa Lissu na...
Salamu mbele!
Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora.
Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo...
Mwana katuni maarufu nchini leo tena ameamua kutuwacha kwenye mataa.
Ametupia picha ambayo binafsi nimeshindwa kuisoma na kulazimika kwaomba wataalam wa kusoma picha.
Naombeni tusaideni sisi tusiyo na utaalam husika.
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye...
Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa.
Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.
Kuna tangazo la kusitishwa kwa safari za train ya abiria safari za Dar - Kigoma kupitia mikoa kadha ya kuelekea bara.
Sababu wanazotoa ni miundo mbinu kuharibiwa na mvua. Swali la kujiuliza ni mvua gani zilizonyesha kuzidi awamu ya miaka 6 ya Magufuli? Mbona hatukuona usimamishaji wa safari...
Salute wakuu, mie mpaka leo ninakuna kichwa, ni kitu gani JPM alitumia kuzima maandamano yaliyokuwa yameitishwa na CHADEMA baada ya uchaguzi wa 2015 maarufu kwa jina la UKUTA?, kipindi kile JPM ndio tu alikuwa ameapishwa, hata baraza la Mawaziri alikuwa bado hajateua. Je ni nguvu gani ya kiupako...
Leo katika historia.
Moja katika masiku katika historia ya rais aliefanya makubwa sana hapa nchini Tanzania.
Rais aliekuwa wa wanyonge haswa japo Kuna watu bado wanaandama kivuli chake kwa kuwa hayupo nasi
Wakati akiwa hai waliufyata mkia kama sungura. Tukubali katika hii Dunia huwezi...
Wadau ni ukweli usiopingika kwani katiba iliyopo ipo wazi juu ya mbunge kupotexa ubunge wake na moja ya sababu ni kufukuzwa ktk chama chake. Suala la kuutetea uanachama wake ni jukumu lake lakini anautetea uanachama wake akiwa tayari kaondolewa bungeni.
Kitendo cha Hayati Magufuli na Spika...
Tangu wamepewa mamlaka ya mikutano umeona nini cha wananchi kujivunia.
waafrika tunamezeshwa mambo ya ajabu sana na wazungu nasi tunayachukua mazima mazima
Democracy was just a little chunt system of exploitation. Maisha ya Mwafrika yameharibiwa na mzungu kwa kiasi kikubwa sana.
Waafrica ndio...
Habari Rais Samia,
Nianze kwa kukupongeza kwa uamuzi wako wa kuwalioa waliofukuzwa kazi kwa kughushi vyeti, ila napenda utambue kuna wengine hawaghushi vyeti bali waliachichwa kazi kwa sababu tofauti kabisa na hiyo.
Mimi nitazungumzia wale walioachishwa kazi kwakuwa tu walibadili kada zao...
Habari zenu wanabodi..
Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa.
Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu taarifa za Benki Kuu na Ofisi ya Taifa ya Takwimu limefanya ulinganisho wa ukuaji wa Uchumi Kwa awamu...
Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana.
Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani...
Salute, vyama vya upinzani viwili vikubwa Tanzania,badara ya kueleza namna nzuri ambayo watatumia kuondoa kero za wananchi na kuwapunguzia mzigo wa maisha magumu, badara yake vimejikita kumshambulia mtu ambae hayupo madarakani wala duniani.
Matusi ambayo sina uhakika kama wanahitaji kuyasikia...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma...
Tundu Lissu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha.
Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu...
Magazeti dada mawili ya The Citizen na Mwananchi yameripoti ukwepaji kodi wa kupindukia (Tzs.3.3 tr) huku tukikuza deni la taifa kwa kukopa hadi Mhimili wa Bunge unastuka. Magazeti haya yamejizolea sifa lukuki kwa uandishi wenye weledi.
Kauli ya Rais ni Sheria
Kaulimbiu ya kila mtu ale kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.