gabriel geay

Gabriel Gerald Geay (born September 10, 1996) is a Tanzanian long-distance runner. Geay has competed at the professional level in distances 5K through to the half marathon.Geay has won 7 notable road races including the Peachtree Road Race (2016) and the Bolder Boulder 10K (2017). As of July 2018, Geay has earned over US$33,000 in prize money.In 2017, he competed in the senior men's race at the 2017 IAAF World Cross Country Championships held in Kampala, Uganda. He finished in 22nd place.In 2019, he competed in the senior men's race at the 2019 IAAF World Cross Country Championships held in Aarhus, Denmark. He finished in 88th place.In 2021 he placed 6th in a new Tanzanian national record of 2:04:55 at the Milano Marathon in Italy. This performance qualified him for the 2020 Tokyo Olympic Games in the men's marathon. He competed at the Olympics with compatriot Alphonce Felix Simbu in the men's marathon in August 2021.In 2022 he was second in the Valencia Marathon in Spain in a new PB and National Record of 2:03:00

View More On Wikipedia.org
  1. Melubo Letema

    Gabriel Geay achukua nafasi ya tatu Marekani leo

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na kwa taifa pia
  2. D

    Mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay aangukia pua Boston Marathon 2024. Je, nini kimemkuta ndugu yetu?

    BOSTON MARATHON Tarehe 15 April 2024 tumeshuhudia mwanariadha wa ETHIOPIA Sisay Lemma akitimua mbio za pace ya juu kwanzia KM ya 7 mpaka 42 na kumbwaga ndugu yetu GABRIEL GEAY kwani hatukumuona tena hata finishing line hakufika. Je, nini kilitokea? Wadau tujuzane manake bongo ukishinda...
  3. Stephano Mgendanyi

    Wanariadha Gabriel Geay na Alphonce Simbu Watinga Bungeni

    MHE. DANIEL SILLO AKIWA NA MWANARIADHA GABRIEL GEAY BUNGENI Wanariadha Gabriel Geay na Alphonce Simbu Watinga Bungeni Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Daniel Baran Sillo akiwa katika picha ya pamoja na mwanariadha Ndugu Gabriel Geay katika viwanja vya Bunge ambaye hivi...
  4. JanguKamaJangu

    Mahakama yaiamuru MultiChoice iwalipe mwanariadha Simbu na wenzake Tsh. 450m

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeamuru Kampuni kutoa huduma za maudhui ya vituo vya luninga - MultiChoice (T) kuwalipa Sh. 450 milioni wanariadha watatu maarufu wa Tanzania. Imethibitika mahakamani hapo kwamba MultiChoice ilitumia picha za Wanariadha Alphonce Simbu, Failuna Abdi Matanga na...
Back
Top Bottom