WAKUU HUU UZI MAALUMU WA MAJOBLESS
Wakutiana Moto na kufarijiana kwa yote tunayopitia vile vile kupeana fursa na taarifa kuhusu utafutaji kazi
NIANZE NA MIMI
Huu mwezi wa pili tangia nisimamishwe kazi nilipokuwa nafanya kazi NI mkoani geita geita gold kutokana na kashfa ya pombe nimerudi dar...
Position: MECHANICAL DRAUGHTSMAN
Areas of Responsibility: As assigned by the supervisor.
Reports To: MCC MANAGER
Specific Knowledge
Minimum of (5) five years of hands-on experience in the cement industry, particularly in developing and preparing comprehensive mechanical drawings...
Salama wana jukwaa,
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye mke na watoto wawili, nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kazi yoyote ile kujikimu mimi na familia yangu.
Elimu yangu ni "Bachelor of Business Adminstration". Yoyote mwenye kazi au connection ya kazi yoyote halali na yenye kipato basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.