Nauza flash mpya zenye uwezo wa kuhamisha na kuhifadhi mafaili kutoka kwenye simu kwenda kwenye computer na kutoka kwenye computer kwenda kwenye simu karibuni zipo gb 4 @1000na gb 16 @12000
Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk.
Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
Umeanzisha stationery machine zote muhimu unazo isipokiwa flash na usb Leo flash Hadi buku 5 unapata usb 1500 kwa 2000
Unajikuta unakosa jero ya wateja bure printer ya Epson 300-400k, photocopier ya canon 700-1000k na vikorokoro vingine unakosa usb na flash
Flash inawaka ila nikiichomeka kwenye PC inalazimisha niifomat.
Ila notification inasema tap to fix na signal ya flash inawaka ,hii wadau inaweza kupona na DATA zikaendelea kubaki?
Katika enzi ya teknolojia, ulinzi na usalama wa data zako ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Picha, nyaraka muhimu, na mafaili ya kazini vyote vinahitaji kutunzwa na vizuri kuwa na backup. Na USB Flash Drive, inakupa suluhisho unalolihitaji.
📁 Nafasi Kubwa ya Hifadhi: Hifadhi picha, video, na...
Najaribu kufanya research ya kuangalia kati ya Aliexpress, Kikuu au Alibaba App ambayo ina uhakika na wanaweza kuniletea bidhaa kwa jina ninalotaka mimi.
Naomba msaada.
Habari wana JF,
Kwa anayefahamu chimbo la bidhaa za Jumla, za Flash Disks, Memory Card, na Phone Accessories.. Location iwe Arusha au Dar.. Sana sana Arusha kama zipo..
Nilitegemea binadamu baada ya kurekodi matukio ya maisha yake kwa muda wa miezi kadhaa basi ubongo wake ujae, lakini cha ajabu na cha kushangaza, mtu anafika hadi miaka 100 ila anakumbuka matukio yote ya utotoni.
Sasa naomba kujua, ni mechanism ipi inayotumika kwenye ubungi kiasi unashindwa...
Wana jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV? Na je, nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
Flash nmenunua ila kwenye computer inasoma vizuri na ukiweka movies zinaonyesha zimeingia ila ukiitoa kwenye computer halafu ukairudisha tena hazionekani movies yaani inasoma haina kitu kama kuna msaada naweza kuupata kwa anayefahamu jinsi ya kuiseti.
Wakuu habari zenu,
Kama mjuavyo flash drive ya kwanzia gb 64 + 1 TB uki format kwa fat32 hua inapoteza uwezo wake wa kubeba vitu vingi na badala yake itahifadhi vitu mwisho gb 32 tu.
Naomba msaada jinsi ya kuvunja hiyo limitation na kufanya ibebe vitu vingi zaidi ya gb 32 bila kubadilisha...
Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo .
Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
Kuna vitu viwili vinatukera sisi Kunonu Teknolojia kwenye jamii yetu ya Kitanzania kwenye matumizi ya teknolojia ya flash kwa matumizi ya nyumbani au ofisini.
Mosi ni kwamba watu wanauziwa 'flash feki' hivyo zinawafia haraka zikiwa na vitu vyao muhimu. Pili, wengi wanauziwa 'flash' kwa bei za...
Kwa yeyote anaejua jinsi ya ku remove "write protection" kweny flash drive au kui format flash drive ambyo ipo write protected naomba anisaidie maana cwez kui format wala ku insert file llte. Before nilikuwa naweka mafaili kama kawaida na ku transfer lkn sahv nashangaa inazngua, inasoma "Read...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.