fangasi

  1. Godinho7

    Msaada wa dawa ya fangasi sehemu za siri

    Habari Ndugu, Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?
  2. Nyanda Banka

    Dalili za Fangasi ukeni

    ●Kuwa na miwasho sehemu za siri mara kwa mara ●Vipele vidogo vidogo ukeni ●Kutokwa na uchafu mweupe au wa rangi ya kijivu ukeni wenye harufu mbaya ●Vidonda au kuwa na michubuko ukeni ●Kutokwa na harufu mbaya ukeni Kupatwa na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa au tumbo La chini ●Kuvimba au...
  3. T

    Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

    Wakuu kwema. Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi kwa daktari specialist wa ngozi lakini dawa aliyonipatia ni kama niliyokuwa napewa na wengine...
  4. E

    Naumwa wakuu, nina fangasi sehemu za Siri

    Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani. Sasa selewiii tiba ni nini.
  5. Mabula marko

    SoC04 Matumizi ya viumbe hai wadogo (bakteria na fangasi)” katika kuozesha taka ili kuondoa tatizo la uchafu katika mazingira yetu na kulinda afya zetu

    MATUMIZI YA VIUMBE HAI WADOGO (BAKTERIA NA FANGASI)” KATIKA KUOZESHA TAKA ILI KUONDOA TATIZO LA UCHAFU KATIKA MAZINGIRA YETU NA KULINDA AFYA ZETU NA VIUMBE HAI WENGINE Utangulizi: Tanzania kama nchi zingine ulimwenguni huzazlisha taka laini na ngumu nyingi zitokanazo na shughuli za kila siku za...
  6. sanga misuka

    Fangasi sugu sehemu za siri

    Habari great minds, Nina tatizo la fangasi sugu sehemu za siri kwa miaka zaidi ya 4, huwa linanisumbua miwasho japo kuna muda linapungua na kupotea. Nimeshatumia kila aina ya dawa zikiwemo za kupaka na kumeza, na kufuata maelekezo yote lakini tatizo bado lipo. Kwa mikoa niliyokuwa naishi...
  7. Malaria 2

    Fangasi za Ajabu zinawawatesa wanajeshi Israel, wafariki. Laana za Allah zawaandama

    Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal. Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa yawawasumbua zaidi. === Leo ikiwa ni siku ya 81 ya mapambano kati ya Jeshi la Israel (IDF) na...
  8. T

    Msaada: Fangasi zinateketeza sehemu zangu za siri kwa kasi sana

    Wakuu, Ni muda sasa kumekuwa na fangasi kwenye pumbu zangu lakini sikuchukulia serious , kila nilipofatilia naambiwa ni usafi tu , basi naongeza usafi na precaution zingine huku maisha yakiendelea. Nimeishia nayo kama miaka sita hivi. Rate ya kueneaa kwake ilikuwa ndogo tu lakini kilichonistua...
  9. P

    Fahamu zaidi kuhusu chanzo na dalili za ugonjwa wa fangasi ukeni (Vaginal Candidiasis)

    UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS) Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu...
  10. fundi bishoo

    Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

    E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana...
  11. V

    SoC02 Kudhibiti usugu wa dawa za kutibu magonjwa yanayo sababishwa na bakteria na kuvu (Fangasi) Tanzania

    KUDHIBITI USUGU WA DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA BAKTERIA NA KUVU (FANGASI) TANZANIA. Usugu(Upinzani) wa dawa ni hali ambayo vijidudu kama bakteria na fangasi kuzishinda dawa ambazo zimeundwa kuziharibu na hilo husababisha mtu kushindwa kupona ugonjwa fulani unaosababishwa na...
  12. Kwa Imani

    Dawa ya maambukizi (fangasi) kwenye ulimi (geographical toungue).

    Msaada anayejua dawa ya maambukizi kwenye ulimi kwa jina la Geographical toungue kama inavyoonekana hapo kwenye picha. Niliambiwa ni upungufu wa vitamin C, nikaandikiwa dawa za Vitamin C, nikaambiwa nile vyakula vyenye Vitamin C lakini wapi. Je, kuna yeyote anafahamu huu ugonjwa na dawa yake...
  13. Frumence M Kyauke

    Maambukizi ya Fangasi katika Sehemu za Siri (Vaginal Candidiasis)

    Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi haya katika kipindi cha uhai wao. Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na uwepo wa fangasi wanaojulikana kitaalamu...
  14. JamiiForums

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Wadau wengi wamekuwa wakiumizwa na maradhi haya; hebu tuyaangalie kwa mapana yake: What Is a Urinary Tract Infection? About half of women will get a urinary tract infection or UTI at some point in life. It happens when germs infect the system that carries urine out of your body...
Back
Top Bottom