eid el fitr

Eid al-Fitr (; Arabic: عيد الفطر, romanized: Eid al-Fiṭr, lit. 'Holiday of Breaking the Fast', IPA: [ʕiːd al ˈfitˤr]) is the earlier of the two official holidays celebrated within Islam (the other being Eid al-Adha). The religious holiday is celebrated by Muslims worldwide because it marks the end of the month-long dawn-to-sunset fasting of Ramadan. It falls on the first day of Shawwal in the Islamic calendar; this does not always fall on the same Gregorian day, as the start of any lunar Hijri month varies based on when the new moon is sighted by local religious authorities. The holiday is known under various other names in different languages and countries around the world. The day is also called Lesser Eid, or simply Eid.Eid al-Fitr has a particular salat (Islamic prayer) that consists of two rakats (units) generally performed in an open field or large hall. It may only be performed in congregation (jamāʿat) and features seven additional Takbirs (raising of the hands to the ears while saying "Allāhu ʾAkbar", meaning "God is the greatest") in the Hanafi school of Sunni Islam: three at the start of the first rakat and three just before rukūʿ in the second rakat. Other Sunni schools usually have 12 Takbirs, similarly split in groups of seven and five. In Shia Islam, the salat has six Takbirs in the first rakat at the end of qira'a, before rukūʿ, and five in the second. Depending on the juristic opinion of the locality, this salat is either farḍ (فرض, obligatory), mustaḥabb (strongly recommended) or mandūb (مندوب, preferable). After the salat, Muslims celebrate the Eid al-Fitr in various ways with food ("Eid cuisine") being a central theme, which also gives the holiday the nickname "Sweet Eid" or "Sugar Feast".

View More On Wikipedia.org
  1. Code01

    What a blessing Eid🙏

    Kinachonifurahisha ni kwamba leo waandishi wa habari karibu wote wamevaa kanzu na hijab😂
  2. Ojuolegbha

    DSM Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Machi 31, 2025

    Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/Hb63c_TjKB8?si=wqlP3wcHwx2apfo2 Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki...
  3. Ojuolegbha

    Rais Samia ashiriki sala ya Eid El Fitr kwenye msikiti wa BAKWATA uliopo Kinondoni, Dar es Salaam

    Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye sala ya Eid El Fitr kwenye msikiti wa Bakwata uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Rais Samia ni mpenda Ibada na amewatakia heri ya Eid watanzania wote.
  4. JanguKamaJangu

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu Mkoani Tanga waswali Swala ya Eid el Fitr

    Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wanaofuata mwezi mwandamo wa kimataifa, leo Jumapili Machi 30, 2025, wameswali Swala ya Eid el Fitr, baada ya kuhitimisha siku 29 za mfungo wa Ramadhan. Pichani baadhi ya waumini hao wakiwa katika Uwanja wa Ramole jijini Tanga wakihudhuria swala hiyo leo...
  5. Niache Nteseke

    Nigeria leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr?

    Salaam wakuu. Nimeshangaa leo kuna mtu amewasiliana na jamaa yake aliyeko Nigeria na kumwambia kuwa The Federal Government imetangaza rasmi kuwa leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr. Tunajua kuwa kwa kawaida hapa nchini kuna watu huwa wanaswali Eid pindi tu mwezi utakapoandama popote pale...
  6. Dr Matola PhD

    Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24. Hizi dini ni za magumashi amkeni. Cc: Kiranga
Back
Top Bottom