Zab23
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
...nijapopita katika bonde la mauti sitaogopa.
Yeremia 17:5
Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu
Alitamba sana enzi za Jiwe.
Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.
Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.
Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.
Tijifunze kuishi na watu vizuri maana...
Kwanza kabisa kiustaarabu kwa nafasi ya katibu mkuu kiongozi uliyokuwa nayo haikupaswa kuondolewa mapema namna hiyo. Hata kama ulikuwa haufai kuwa na hiyo nafasi ilitakiwa mkuu wa kaya akuvumilie uvute naye siku hata miezi sita.
Lakini ndani ya mwezi na siku kadhaa ukawa umeg'olewa. Ok sio...
Wengi humu humu walitabiri nani angekuwa makamu wa rais wakimtaja hata Dk Bashiru Ally. Wengine walisema wazi waligemea mhe Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa atupwe. Haiwi haiwi huwa. Sijui mnajisikiaje ambao watu wenu wametoswa? Ni swali tu.
Kwa wale ambao tumekuwa tunafuatilia mambo tunakumba jinsi Katibu mkuu wa Ccm alivyowahi kukiri hadharani kuwa Ccm ina tatizo la kuwa na ombwe la viongozi.
Hii ina maanisha viongozi wa CCM wapo tu ila hawajui wajibu wao kama viongozi. Ndio maana kuna shida kubwa juu ya kutatua kero za wananchi...
Ndugu Magufuli, mkoa wa Tanga uliwahi kuwa mkoa tajiri no.1 East Africa kwa sababu ulikuwa ndio sehemu iliyo ongoza ulimwenguni kwa zao la katani, likifuatiwa na yucatan ya Mexico.
Tokea miaka ya 1970, zao la katani limekufa baada ya nylon kugunduliwa na kuweza kutengenezwa kwa bei nafuu zaidi...
Dr bashiru aahaidi kumtoa madarakani Zitto Kabwe
======
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini Tanzania kinajipanga kuibuka na ushindi wa ubunge katika jimbo la Kigoma Mjini linaloongozwa na Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo).
Mwaka 2010 hadi 2015 mbunge wa Kigoma...
January 19, 2020
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru anaichambua safari ya kisiasa ya CCM toka mwaka 2015, ambapo kura za CCM ziliporomoka na Magufuli alipata 58%. Fitna na misukosuko ikawa jadi ya chama. Wasemakweli wakawa maadui wa chama na kupelekea kuitwa na Halmashauri Kuu ya Chama NEC...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amewakumbusha baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa nchini maana halisi ya uchaguzi ni maamuzi ya Umma si kama ambavyo wamekuwa wakieleza kwa kupotosha kuwa, uchaguzi ni namba.
Ameyasema hayo tarehe 13 Januari, 2020 alipokuwa akihutubia...
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI
CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula Bata ambayo imeratibiwa na Mbunge wa Kighoma Mjini Zitto Kabwe na kusema kauli hiyo itachangia kuzorotesha uchumi wa Taifa.
Dkt. Bashiru amesema kuwa, katika nchi ambayo wananchi...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Iringa, amewahakikishia wanachama, mashabiki na wakereketwa wa CCM kuwa Chama hakipo tayari kupoteza jimbo la Iringa Mjini kama ilivyofanyika miaka michache nyuma.
Ameyasema hayo...
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amewaonya wanachama wa chama hicho tawala walioanza mikakati ya kusaka kupitishwa kuwania udiwani, ubunge na urais akibainisha kuwa kufanya hivyo ni makosa.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Desemba 3, 2019 katika ziara yake kisiwani Pemba, Zanzibar wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.