dini imani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blender

    Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu

    Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa. Au...
  2. Aelknes

    Dini imekuja kutugawa au ni sisi ndiyo tumeshindwa kuielewa?

    Nikiwa kwenye harakati za utafutaji nikakutana na fursa nikaona niruke nayo maana nakidhi vigezo vyote,Cha ajabu nikaja kukataliwa kisa sio muumini wa DINI fulani... Nimekua nikishuhudia watu wakitengana,wapenzi wakishindwa kuoana,watu kifanyiana chuki za wazi wazi kisa tu wako na imani tofauti...
  3. MrfursaTZA

    Waafrika, kumbukeni Mila na Desturi zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  4. Erythrocyte

    Kwahiyo Dua za Yanga ni za upande mmoja tu, Waluteri na Wakatoliki au hata Mwamposa hawamo?

    Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu. Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine. Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, au Dini zao...
  5. Dali Mpofu

    Hizi zilikuwa tamaduni za Kiafrika kabla hatujaletewa dini

    Hizi ni tamaduni za kiafrika kabla hatujaletewa dini ngoja niwape point yangu. Mganga wa kwanza anakwambia utakuwa na ela sana lakini sharti utakiwi kulala na mwanamke nje ya ndoa ukifanya ivo umeharibu mashart, utakuwa maskini zaidi ya ulivyokuwa mwanzo. Mganga wa pili anasema utakuwa tajiri...
  6. N

    Watu wa Dini wana ushawishi mkubwa sana

    Wakuu kwema? Nimejaribu kutafakari Kwa kina nimebaini watu wa kiimani/ dini wana ushawishi sana. Hapa nataka tujadili kwa kina napendekeza tubase Sana kwenye elimu zao na tusiwachukulie Kwa kuwa ni watu wa imani na wewe karibu utueleze mtu wa kundi lipi ana USHAWISHI?
Back
Top Bottom