deni la tanzania

The Roman Catholic Diocese of Saint-Denis de La Réunion (Latin: Dioecesis Sancti Dionysii Reunionis; French: Diocèse de Saint-Denis de La Réunion) is a diocese of the Catholic Church located on the island of Réunion.
It is immediately subject to the Holy See. As such, it is not part of an ecclesiastical province, but is a member of the Episcopal Conference of the Indian Ocean (with Comoros, Mauritius and Seychelles). The cathedral church of the diocese is the Cathedral of Saint-Denis (French: Cathédrale de Saint-Denis de La Réunion) located in Saint-Denis.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwande na Mndewa

    Deni la Taifa ni deni la Tanzania sio Zanzibar!.

    .. Ukweli Ni Kwamba Deni La Taifa,ni deni la kinachoitw Tanzania,kwa Muktadha wa deni la Taifa la Tanzania, Ikumbukwe Zanzibar wana Deni lao kama Zanzibar mwaka jana lilikuwa Trillion moja tu Hivi karibun CAG wa Zanzibar watasoma report ya Zanzibar na Wazanzibar kuhusu deni lao la Taifa La nchi...
  2. Y

    David Kafulila: Deni la Tanzania ukilinganisha na Mataifa mengine ya bara la Africa ni nafuu

    == Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio ya wananchi. Katika mazungumzo maalum na The Chanzo Machi 29,2025, Kafulila amesema deni la...
  3. HIMARS

    Deni la Zanzibar ladhaminiwa kwa 73% na Tanzania

    Mwenendo wa deni la Zanzibar 2017/18 - Bilioni 472.5 2018/19 - Bilioni 806.8 2019/20- Bilioni 824.5 2020/21 - Bilioni 887 2021/22 - Trilioni 1.2 https://t.co/YuSI0usKt4 Hawa watu sisi ndio twawadhamini ila wanatuletea kiburi na jeuri. Na hapo bado sisi twawapa zaidi ya Asilimia 4 kwenye...
Back
Top Bottom