Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
Miaka ya majaribio madini na bahari mapori vyote vimeuzwa kwasasa Tanzania ina deni la trilioni 91 hii maana yake ni kwamba kwa Watanzania milion 60 kila mmoja anadaiwa Tsh 1,500,000/=. Kwanza hapo ulipo hiyo pesa unayo?
Kwangu mimi naona chawa wapunguze mihemko mama ana kila sababu ya...
Benki ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wa Dola za Marekani milioni 300 za Marekani, sawa na zaidi ya Sh700 bilioni kwa ajili ya kuchochea uzalishaji na kuimarisha sekta ya kilimo kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mkopo huo uliotolewa chini ya programu ya matokeo (PforR) ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.