Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wananchi wilayani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura huku akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni kutekeleza haki yao ya Kikatiba kuchagua viongozi wanaotaka kuwaongoza katika jamii.
Pia...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo mkoa wa Iringa Mwl. Joseph Ryata amewaomba Watanzania kujitokeza kujiandikisha kwenye zoezi la kupata vitambulisho vya Mpiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwakani 2025.
Akizungumza wakati wa mafunzo ya walimu Makada wa CCM mkoani Songwe, Ryata alisema kuwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo ya siku mbili kwa watendaji kwa ngazi ya halmashauri na majimbo katika halmashauri ya Iringa huku watendaji hao wakisistizwa kwenda kuifanyia kazi elimu watakayoyapata kwenye ngazi za chini.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Afisa...
Mchakato wa kuwapata waandishi wa daftari la kudumu kwa Mbeya mjini ni wa hovyo kuliko kawaida. Hii ni rushwa ya waziwazi inafanyika.
Watu waliomba ajira na waliopita wapo. Kwanini msitoe majina na kuyabandika katika mbao za matangazo au tuyaone kwenye tovuti yenu km walivyofanya maeneo mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.