Story iko hivi kama miezi sita kuna mteja alikuja akanipa kazi ya kumtengenezea tv nikamchaji elf35 alinipa hela usiku muda wa saa1 kesho nikawa siioni elfu 10 na ikapotea mazingira ya kutatanisha kwasababu niliiacha ofisini sasa kesho yake nikawa natafuta kwamba niliichukua muda gani ila...
Habari wakuu
Mimi nimfanya biashara wa duka la rejareja kwa muda mrefu ila ndani ya mwezii kinamatukio matatu yametokea yameniweka mdomo WAZI pesa za mauzo zinapotea zote kimazingira
Tukio la kwanza kwenye Droo kumeondoka ela ya mauzo elf 11 baadae ya KUUZA mara ya pili elf 15 Hadi naleta uzi...
Kwa hesabu nilizopiga, endapo itatokea nikawa naingiza chini ya laki 5 kwa siku, basi naweza kudhalilika hapa mjini.
Nimejaribu kutafakari, shida ni michepuko, watoto wengi au ni nini?
Au ni chuma ulete hii, mbona naishi life style ya kawaida tu?
Mama mmoja mweusi mfupi kiasi amekua kila ikifika jioni anapita kwenye maduka kuomba chenchi elfu moja au kuomba shilingi mia ili anunue pipi, ukimpa tu, baadae pesa zako zinasepa.
Au anaweza kukuomba chenchi ya mia tano...🤣yaani mia mia...akisogea kidogo anakurudia umpe mia mbili mbili..😂
Au...
Wakuu nina swali,
Kuna jamaa yangu amenihadithia kuwa alikuwa anatunza pesa kwenye Kibubu kwa muda wa miezi kadhaa na kwa kipindi hicho alikuwa anatumbukiza noti za pesa na coins pia. Lakini cha ajabu alivyokuja kuvunja alikuta coins mbili tu na moja ya Tshs. 200 ina tobo katikati.
Hivyo swali...
Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;
Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani...
Meneja Huduma za Kibenki wa Benki Kuu Kanda ya Kusini, Melchiades Rutayebesibwa amesema fedha zilizochakaa zimekuwa zikirudishwa ili kubadilishwa ambapo zipo zilimwagikiwa rangi, zilizoandikwa na zingine huja zikiwa zimekatwa katika pembe nne.
Akizungumza katika mahojiano maalumu yaliyotokana...
Hili suala liko wazi kabisa.
100% ya wauza mikaa hawana changamoto ya kuibiwa hela kwa jini wa chuma ulete.
Pesa zote za mauzo zinarushwa kwenye kindoo cha mkaa😅😅 mkaa ambao ndio ume combine miti yote ya dawa tofauti..
Anaandika, Robert Heriel
Ni Watu wajinga pekee watakaoamini mambo ya Pesa kupotea kimazingara, ati kupotea kichawi! Chuma Ulete!
Yaani ati unaweka Pesa kwenye kibubu labda laki tatu za Kitanzania alafu Baada ya muda ukija kuangalia unakuta elfu hamsini. Huo ni Uongo Mkubwa utakaoaminiwa na...
Hapo vip!!
Nimekuwa najiuliza binafsi maswali kadha ya kadha juu ya chuma ulete,mara nyingine nakosa jibu.Ila nina imani kuna watu katika jukwaa hili watanifungua baadhi ya mambo dhidi ya chuma ulete.
Binafsi siamini sana juu ya chuma ulete ila nadhani ipo kwasababu watu wanalizungumzia...
Ndugu habarini,
Hapa ni nyumbani naomba tupeane uzoefu.
Binafsi nipo na ofisi ya Uwakala wa mitandao ya simu na Banks kama wakala wao.
Tatizo nalokutana nalo ni chuma ulete au sijui ni kiini macho.
Tarehe 23.3.2022 alikuja mteja kwa bashasha sana na aliweka 50,000 asubuhi kama saa 2 hivi...
Leo hii kumekuwa na ongezeko kubwa la noti kuukuu, zilizochakaa na kuchanwa kwenye ncha au kutobolewa kwa makusudi kabisa kisa wafanyabiashara wanaamini katika ushirikina.
Watanzania wenzetu mnahiaribia nchi yenu wenyewe uchumi wake, haiwezekani pesa umeipokea ni nzima tena mpya inanukia wewe...
Uchawi ni roho kamili, roho huwa haifi kirahisi. Hivyo mchawi akifa hata kama alipokuwa hai hakumrithisha mtu ofisi yake, usitegemee ule uchawi utapotea. Automatically uchawi utamtafuta mrithi atafundishwa katika ulimwengu wa Roho naye atakuwa mkubwa kuliko hata muasisi wake.
Muhimu: Huwezi...
Mungu mwema sana kwangu, pia mwema kwa WanaJF wote, na niwasalim katika yeye mwenye uwezo juu ya kila kitu alicho kiumba
Niende kwenye mada, ambayo ni fupi mno maana yaitaji majibu ili mnisadie.
Mwendazake na serikali yake ilikua inasema kwamba inakusanya mapato Mara dufu ya serikali zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.