Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amesema kuwa hoja za vyama vya upinzani hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuhusu kudai reforms kuwa zina uzito mkubwa.
Mdee amesisitiza juu ya usahihi wa CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili kwani hakuna kanuni inayoweza kuwa juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amesema kwa niaba ya Wabunge wa CCM, hawana hofu na vyama vya upinzani na kwamba wako tayari kukutana nao majukwaani endapo uchaguzi mkuu utafanyika.
Akizungumza leo Aprili 16, 2025, Bungeni jijini Dodoma...
"Kipimo cha utayari wa kitaasisi unaweza kuona katika jinsi vyama hivi viwili vilivyojipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wakati Dr. Samia na Dr. Nchimbi wameshaambia Watanzania kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wanakwenda na kauli mbiu ya KAZI NA UTU - TUNASONGA MBELE, CHADEMA...
Wakuu
Kumbe kisheria CHADEMA hawajazuiwa kushiriki uchaguzi
Hakuna Sheria ya kuwazuia CHADEMA kushiriki Uchaguzi kisa kuto saini Kanuni za Maadili. Kisheria CHADEMA wamezuiwa kushiriki kampeni sio Uchaguzi.
Ikumbukwe Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika...
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kusikitishwa na tafsiri ya sheria inayochukuliwa na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, akisema hakuna sheria inayozuia Chama cha siasa kushiriki uchaguzi kwa kutosaini Kanuni za maadili ya uchaguzi.
Kupitia ukurasa...
Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao.
Hanje ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 10,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio...
Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba mmoja kati ya wabunge 19 wa Viti Maalumu CHADEMA amekataa msimamo wa Chama kuzuia Uchaguzi huku akisisitiza kuwaunga mkono kundi la G55 ndani ya Chama hicho.
Serikali ya Tanzania imewaonya watu waliojipanga kuleta fujo, kujihusisha na rushwa ama kuleta sitofahamu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kuwa ipo macho na haitatoa mwanya wa kufanyika hila hizo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George...
Hellow!
Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.
Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.
Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama...
Viongozi wa dini mkoani Kagera wamelaani na kukemea vikali kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lisu aliyoitoa akihamasisha uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Wakuu,
John Mrema ameendelea kutoa cheche kuhusiana na msimamo wa CHADEMA wa kuzuia Uchaguzi, akisema kuwa agenda ilianza mwaka 2020 January na haikuanza mwaka 2024 kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha
Aliongeza kuwa Mbowe hakuwahi kusema kuwa CHADEMA itazuia Uchaguzi na hivyo...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amedai kuwa daftari la wapiga kura lina majina mengi yasiyo halali hivyo kutaka daftari hilo liandikishwe upya.
Sumbawanga leo imezizima. Kila kona ni Lissu.
Leo Lissu amefanya mkutano wa aina yake Sumbawanga mjini. Baada ya Wananchi kukoshwa na sera zake pamoja na elimu murua aliyotoa wamefanya maandamano ya kumsindika hadi hotelini alipofikia.
Unaambiwa hii haijawahi kutokea kwa historia ya siasa za...
Bila shaka kila Mwananchi sasa ataelewa maana ya No reforms No election na kuachana na propaganda za serikali hii ya kidhalimu ya CCM.
Tundu Lissu anatumia lugha rahisi kabisa kueleweka kwa kila mtu, ni mwendawazimu pekee ndiye atakayeweza KUSHUPAZA SHINGO na kung'ang'ania kushiriki kwenye...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ikidai kuwa alishinda katika uchaguzi huo na hakutangazwa
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Chadema hawawezi kuuzuia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka huu, kwani upo kikatiba na sheria.
Makalla ameyasema hayo Jumamosi Machi 22, 2025 akizungumza na wanachama wa chama hicho mkoani Simiyu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi"
Pia, Soma
John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.