Pamela Maasay
Pamela Maasay amechaguliwa kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) akimbwaga Catherine Ruge aliyeshindwa kutetea nafasi hiyo.
Pamela ameibuka kidedea kwa kura 37 sawa na asilimia 54 katika kinyanganyiro hicho huku Catherine akipata kura 34 sawa na asilimia 40 na...
Catherine Ruge ambaye alikuwa anawania ukatibu mkuu wa BAWACHA Taifa amepigwa chini na Pamela Maassay. Ruge alikuwa anamuunga mkono Mwamba.
Uchaguzi umekamilika kwa nafasi zote za BAWACHA ambapo
Team TALL Wajumbe 17
Team FAM wajumbe 16
Jumla 33
Huku Bavicha Team FAM Ikiibuka hohe hahe kwa...
https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
====
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa...
8 July 2024
‘Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) - 'Samia Anahofia Mageuzi Yataiondoa CCM Madarakani’
Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), amesema kwamba sababu kubwa ya kufeli kwa mchakato wa kuleta mageuzi ya kisiasa nchini, kama vile...
Familia za wahanga wa mauaji ya Tarime kwa hakika zimekosewa sana.
Hivi ndivyo ilivyo kwa vifo vyote vya makusudi vinavyotekelezwa na vyombo vya dola kinyume cha sheria.
Wito huu ni kwa wapenda haki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wapenda amani wote.
Catherine Ruge anapambana. Kwa...
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge.
Ruge amekamatwa leo Jumamosi, Septemba 24, 2022, muda mfupi baada ya kufika Mjini Musoma, Mkoa wa Mara kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
Lengo la...
Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge.
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge.
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la...
Baadhi ya watu wanashangaa Askofu Mwamakula kuwatetea CHADEMA! Wapo wanaoshauri Askofu awe anafanya mara moja moja lakini sio kila mara. Wakati wa janga la UKIMWI, tulizika ndugu zetu wengi. Lakini hatukuchoka kulia kila ndugu alipokufa eti kwa sababu tulilia misiba ya jana na juzi. CHADEMA wapo...
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.