Habari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote...
TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2
Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi
Pia bodi ya ligi imegundua kuwa Al Masry wakifunga magoli ya counter attack, Simba alionewa kwanini afungwe...
TPLB ilihairisha mchezo wa Simba na Yanga Kwa kusema wataupangia tarehe nyingine, cha ajabu kuchelewa kwao kutangaza tarehe yameibuka ya kuibuka!
Nafananisha haya na yanayoendelea CHADEMA na kundi linalojiita G55. Nionavyo Mimi hawa ni VIVURUGE tu!
Nasema ni VIVURUGE Kwa sababu Kwanza ata Hilo...
Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli.
Hongereni Jeshi la...
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025.
Soma: Bodi...
Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025.
Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji...
Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
Bodi ya ligi lazima ijiuzulu kwasababu zifuatazo.
1. Ndani yao alikosekana mtu wa kunusa hatari za kijamii, kimpira, kiuchumi, na za kiusalama zitakazoambatana na kuahirisha mchezo ule. Kiongozi hana busara, akili ya kusimamia mpira na amani ya nchi. Kwake yeye ilikuwa liwalo na liwe haichezwi...
Wakuu
Uongozi wa TFF, Bodi ya Ligi, Simba na Yanga chini ya Wizara ya Utamaduni, sanaa na michezo utakutana kesho Machi 27 saa 4 asubuhi katika ofisi za BMT kujadili hatma ya mechi ya Derby iliyoahirishwa Machi 8.
Pande zote zimethibitisha kushiriki kikao hicho.
Soma, Pia
Serikali yawaita...
Mpira unaendeshwa kwa kanuni, kama anaesimamia kanuni hizo ameshindwa kusimamia anapaswa kujiuzulu kwanza kabla kitu kikubwa kama wizara kufanya kitu kilekile walichoshindwa bodi ya ligi kukifanya. Serikali isaidie kutupatia mazingira sahihi ya kucheza mpira lakini sio namna ya kuucheza mpira...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga ili kutatua mgogoro unaoendelea kuhusu kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba...
Muda wowote kuanzia sasa Watanzania mtatangaziwa hii Taarifa ambayo GENTAMYCINE nimeitoa Jikoni kabisa. Wameamua kuliko) kuwapa Yanga SC Alama (Points) Tatu (3) kama Wanazoziota wameona kuweka Mambo sawa wawatoe Kafara akina Mguto na Kassongo wakiamini kuwa wana Yanga SC wataridhika na kuleta...
Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati,
Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe
Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba...
Bodi ya Ligi walikosea sana kuhairisha Dabi kati ya Timu za Yanga na Simba. Tujiulize maswali yafuatayo:-
(1) Simba walipofika uwanjani hawakumkuta Meneja wa Uwanja, Kamisaa wa mchezo huo na geti la uwanja lilifungwa. Je haya ni makosa ya Yanga?.
(2) Simba wanasema walizuiwa na mabaunsa wa...
Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!!
Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Steven Mguto katika mahojiano yake na Kituo cha Habari cha Mwananchi Digital amesema iwapo wao Kama mamlaka za kimpira watashindwa kutatua sakata la Simba na Yanga kuhusiana na kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo basi wataishirikisha Serikali.
"Jambo hili...
Ofisi moja maelezo tofauti na bado mnataka tuwaamini? Jana niliuliza aliyeona barua yao hawa Wazee Wahuni aiweke lakini Hakuna aliyejaribu. Jana Msemaji Boimanda akasema hawana cha kuwajibu Yanga hivyo hawajajibu chochote. Leo Mwenyekiti Mguto anasema walishawajibu Yanga. Hii yote ni kuonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.