Waziri Habari, Mawasiliano na Teknilojia ya Habari, Jerry William Silaa ameweka jiwe la msingi Shule Mpya ya Sekondari Sekoutoure iloyopo Kata ya Ilongero Wilaya ya Singida kuashiria uzinduzi rasmi wa shule hiyo ambayo ujenzi wake umegharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi bilioni moja.
Shule...
Nyimbo kuwa na numbers kubwa kwenye majukwaa ya kidigitali means imepewa green light na wasikilizaji yaani imepita (listeners choice).
Kama ilivyo kuwa mtiti kumiliki pesa bilioni moja basi kupata attention ya watu billion wenye asili, hisia na wadhifa tofauti Kila Kona ya ulimwengu hayo ni...
Kwa niaba ya GSM Group tunayo furaha ya kutangaza rasmi kuwa tumepanua wigo wa mahusiano yetu na klabu ya Yanga SC.
Tunatangaza rasmi kuwa kampuni mpya ya vinywaji ya GSM imeingia mkataba wa miaka mitano na klabu ya Yanga SC, na mkataba huu una thamani ya Tsh bilion 1” Benson Mahenya CEO wa GSM...
Kuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu
Unachagua kidonge kipi? Kwanini?
Karibuni wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.