benard membe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Pre GE2025 Luhanga Mpina anatengenezwa kama Hayati Membe akawe Mpinzani?

    Huu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe. Tumeshaiona hii picha🥲
  2. Gan star

    Benard Membe kuwa Kachero mbobezi ni ishara ya udhaifu mkubwa idara ya usalama wa Taifa

    Inashangaza sana, hii nchi inawezekana hata sehemu zile nyeti kutakuwa na kundi kubwa la vilaza thus why mambo yanaendelea kuharibika kila uchwao , Nimesikia mara nyingi Bwana Membe akiitwa Kachero Mbobezi , sitaki kupinga kuhusu hii sifa na yawezekana kweli alikuwa na sifa hyo , Ila nipende...
  3. Suzy Elias

    Paul Makonda informer wa Benard Membe katika ya Utawala Magufuli

    Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Nyuma ya pazia, wawili hao wana hadithi nzuri na yenye fundisho ndaniye. Kwa sababu wahusika wakuu hatunao...
  4. Pascal Mayalla

    Buriani Benard Membe, Umepigana Vita Vilivyo Vitakatifu, Mwendo Umeumaliza, Imani Umeitunza, Madeni Yako Yaliyobakia Karma Itakulipia!

    Wanabodi, leo katika viwanja vya Karimjee, Watanzania tunamuaga aliyekuwa Waziri wetu kwa kipindi chote cha miaka 10 ya utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwana Diplomasia nguli, Bernard Cammilus Membe, aliyefariki dunia ghafla, juzi Ijumaa asubuhi. Nilivyomfahamu Membe. Fani yetu ya uandishi wa...
  5. Mganguzi

    Kama mnayoyasema ni kweli, basi muombeni msamaha marehemu Benard Membe

    Ametutoka huyu mwamba na sauti zinasikika kutoka pande zote za nchi ya kwamba huyu mtu alikuwa hazina ya taifa ni kweli. Inawezekana alikuwa hazina lakini kwa makusudi mliamua kumpuuza..membe kama kweli hizo sifa mnazompa ndizo basi mliamuaje kumpiga benchi kijana wa kitanzania na...
  6. Ngungenge

    Kifo cha Benard Membe is a waking alert

    Nikiwa kijiji kwangu huku njilinji nikiendelea na shughuli za kilimo nimeshtushwa na taarifa ya kifo cha Mh. Benard Membe (kachero mbobezi) natuma salamu za pole kwa ndugu jamaa na marafiki. Poleni sana kwa huu msiba mzito. Kutokana muunganiko wa code mbalimbali nachelea kusema mambo kadhaa...
  7. K

    Kifo cha Bernard Membe: Ufafanuzi kuhusu Madai na Malipo ya Mdaiwa aliyefariki

    Anaandika Ibrahim Mkamba Inna lillahi wa inna lillahi raj'ughn, Bernard Camillius Membe ametutoka. Taarifa ilipopatikana tu, mara moja maswali yamekuwa mengi endapo sasa mtu aliyemdai hatalipa kwa sababu madai yalikuwa yanahusu mdai kukashfiwa na huyo mkashfiwa ameshafariki. Najibu hapa ili...
  8. Kiturilo

    Ewe Nape hata 2015 ulimtaka Membe lakini hakuwa, CCM haina mwenyewe

    Hili ni bandiko la kumkumbusha tu Nape Nnauye kuwa si kweli kwamba CCM ina wenyewe kama alivyosema kwenye bandiko lake la jana huko twita akimjibu kiroboto. Bwana Nape akiwa kiongozi wa juu kabisa wa ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015 alimtaka sana Benard Membe ndiyo awe mgombea wa CCM na...
  9. Replica

    Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

    “Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu...
  10. venance7

    Mahakama yaamuru Cyprian Musiba kulipa faini ya Tsh. bilioni 6 kwa kumchafua Bernard Membe

    Mahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, ndugu Bernard Membe. Mahakama hiyo...
  11. Erythrocyte

    Hukumu ya Kesi ya Membe dhidi ya Cyprian Musiba yaahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

    Mahakama Kuu leo inatarajiwa kutoa Hukumu ya Kesi inayomkabili Musiba na Mhariri wa gazeti la Tanzanite , ambao kwa pamoja wanadaiwa kumchafua Benard Membe kwamba alikuwa anamhujumu aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 , John Magufuli . Membe anadai Mahakamani fidia ya Tsh Bil 10 . ===UPDATE===...
  12. Etwege

    CCM: Tutamjadili kwanza Benard Membe

    Chama cha Mapinduzi kimemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Act Wazalendo mwaka 2020 na baadae kutangaza kujitoa kwenye chama hicho, na sasa ametangaza safari ya kurudi CCM chama chake kilichomlea na baadae kumfukuza kutokana na utovu wa nidhamu kuwa kitamjadili kwanza ili wamuone kama wamkubalie...
Back
Top Bottom